huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bunge laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya SADC ya Mwaka 2012

    Bunge la Tanzania Agosti 31, 2023 limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012 ambapo pamoja na mambo mengine, itaondoa vikwazo vya kikodi na visivyo vya kikodi kwa wafanyabiashara wa Tanzania katika nchi za jumuiya hiyo. Akizungumza na...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kuweka Ulinzi Imara: Huduma za iSecure Technology Zinavyokupa Amani ya Akili

    Usalama ni jambo la msingi katika maisha yetu ya kila siku. Tunapojali usalama wetu na mali zetu, tunaweza kuishi bila wasiwasi na kujenga mazingira bora kwa familia zetu na biashara zetu. Hapo ndipo iSecure Technology inapokuja kama mshirika wako wa kuaminika katika kujenga mazingira salama...
  4. JamiiForums Tanzania Dawasa Kibaha yarejesha huduma ya kuunganisha maji kwa wateja wapya

    Meneja wa DAWASA Kibaha, Alfa Ambokile amesema “Kila ofisi au taasisi inaweza kupitia kipindi fulani kigumu lakini huduma ya kuunganisha maji tayari imerejeshwa na hata leo hii (Agosti 28, 2023) tumehudumia wateja wapya wa kuunganishiwa maji. Tulisitisha kipindi cha ukame Mwaka jana (2022)...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

    Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao Cc Chief-Mkwawa
  6. I

    JamiiForums Tanzania Huduma ya TTCL ya kutoa Internet nyumbani ni mbovu sana

    Ndugu zangu ninahitaji kuunganishwa na huduma ya internet ya TTCL nyumbani kwangu. Kwakweli ni aibu kusema nilikuwa natumia huduma ya Zantel ambayo ilikuwa nzuri na nilipopata changamoto au hitilafu walikuwa wanakuja haraka sana kunipa huduma sema gharama ilikuwa juu kwani nilikuwa nalipa...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali: Iruhusu huduma ya kujitoa uhai (euthanasia)

    Ombi langu kwa serikali ya JMT: Mimi kama mwananchi wa taifa hili la Tanzania nina ombi kwa serikali yangu ya JMT kuruhusu huduma maalumu ya kujitoa uhai (Euthanasia) kwa magonjwa maalumu tu. Hii huduma nilikuwa napendekeza iwe inapatikana kwa wagonjwa maalumu wenye magonjwa maalumu yasiyo na...
  8. JamiiForums Tanzania JKCI: Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo

    Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kupitia huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kama Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma za TGC kivutio maonesho ya madini na uwekezaji mkoani Lindi

    Ruangwa - Lindi Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya Madini na Uwekezaji mkoani Lindi wamevutiwa na bidhaa zilizozalishwa na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika banda la Wizara ya Madini. Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na TGC kutokana na madini mbalimbali zilizopo katika...
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded DAWASA Kibaha Wamesitisha Huduma ya Kuunganisha Maji kwa Wateja wapya

    Habari za leo ndugu zangu? Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo. DAWASA Kibaha wanapokea maombi mapya, lakini hawatoi bili za malipo (control namba), wanadai wameishiwa vifaa. Wadau...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Huduma ya "Afya kwa Wote" ilivyo kitanzi haki ya mtoto

    MALENGO ya Maendeleo Endelevu 2030 (SDGs), hususan lengo la tatu ni kuhakikisha uwapo wa Afya Bora na Ustawi. Umoja wa Mataifa (UN), unahimiza uwekezaji kwenye huduma za afya. Ajenda ya Shirika la Afya Duniani (WHO), mwaka 2018 katika maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani, yalilenga kuhamasisha...
  13. JamiiForums Tanzania Huduma Mbaya, Uarasimu na kupotea hovyo mtandao wa NHIF

    Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi. Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali. Nimeshindwa kupatiwa huduma. Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa. Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema Naambiwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kwa NHIF: Nashindwa kupata huduma za Afya pamoja na kulipia kifurushi cha Tsh. Milioni 1.4

    Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao? Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
  15. JamiiForums Tanzania NMB na CRDB wamejaa Uswahili kwenye huduma zao

    Kuna habari nyingi za wateja kuibiwa fedha zao, kadi kumezwa ovyo, mashine kutokutoa risiti, makato makubwa na yasiyoeleweka, huduma mbovu na mambo mengi ya kihuni na ubaya hawajirekebishi bora wateja wahamie EXIM, STANBIC & KCBL
  16. JamiiForums Tanzania Haki ya kupata Taarifa ni Haki ya Mtu yeyote kuuliza Taasisi ya Umma ili kupata Taarifa zinazohusu Huduma, Matumizi ya Fedha za Umma

    Haki ya kupata Taarifa iliandikwa kwa mara ya kwanza kwenye Katiba ya Sweden Mwaka 1766. Baadaye ikaletwa Sheria ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuondoa zuio la Kisiasa la kupata nyaraka za Umma Tangu wakati huo, Nchi nyingi zilifuata mfano huo, na mpaka sasa Haki hii inalindwa...
  17. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Umezinduliwa Kwenye Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA UMEZINDULIWA KWENYE HOSPITAL KUU YA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumanne, tarehe 9.8.2023, Mkuu wa Wilaya wa Musoma (DC), Dkt Khalifan Haule amezindua utoaji wa Huduma mbalimbali za Afya kwenye Hospitali ya Halmashauri yetu ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) Hospitali imejengwa...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji huku kwetu Mungumaji, Singida ni anasa badala ya Huduma

    Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo). Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote. Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Huduma ya msaada wa Kisheria kuwa endelevu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Mtandao wa Watoa Huduma ya Msaada wa Kisheria (TANLAP) na Menejimenti ya Legal Services Facility “LSF” jijini Dar es Salaam. Mhe.Ndumbaro amekutana kujadili masuala ya msaada wa kisheria na ufahamu wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kukwama kupata huduma fulani sababu ulishindwa kutoa rushwa? Ulichukua hatua gani?

    Wakuu, Wengi wamekuwa wakilalamika kuombwa rushwa ili waweze kupata huduma nzuri sehemu mbalimbali wanazokuwa wanajitaji huduma fulani, na ikitokea hujatoa basiutazungushwa sana mpaka mwenyewe uingie mfukoni kupaka mafuta vyuma ili mambo yaende. Baadhi wanasema kama hujawahi kuombwa rushwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…