Kifurushi cha huduma za teknolojia kwa kampuni yako

tzhosts

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
380
468
logo.gif

Je, wewe ni mmiliki wa kampuni ya kibiashara ndogo na ya kati?

Je, katika Biashara yako unatumia teknolojia mbalimbali au unahitaji kutumia teknolojia mbalimbali?Kama Jibu ni ndio basi wasiliana nasi leo ili tuone ni namna gani tunaweza kufanya kazi pamoja.

TUnawaletea huduma ya vifurushi vya teknoljia ambavyo vinahusisha huduma mtambuka kama vile mawasiliano,tehama,mafunzo na usimamizi na usaidizi.Huduma hizi zinalenga kutatua changamoto za kiteknoljia mbazo zinaweza kuikabili biashara au kampuni yako hasa katika tasnia ya TEHAMA.Baadhi ya huduma zetu ni pamoja na:
  1. Huduma za utengeneza wa Tovuti(Website design and hosting)
  2. Huduma za Barua Pepe(Email Services
  3. Huduma za usimamizi wa Mitandao ya kijamii(Social Media Management)
  4. Mifumo ya usimamizi wa rasilimali za Biashara (ERP,CRM & Accounting Systems)
  5. Mifumo ya Biashara mtando(E-commerce Systems)
  6. Huduma za Bulk SMS Advertising
  7. Huduma ya utangazaji wa biashara mtandaoni(Paid Online Ads)
Huduma zote hizi zinapatikana kwa gharama nafuu na kwa mfumo rahisi wa installment payment katika maeneo yote Tanzania.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au whatsap 0757323060 au Email: sales@tzhosts.com

Karibu Sana
 
bulk sms bei gani ?
Kwa Bulk SMS
Kama unayo list yako ya namba za simu Bei ni kuanzia shilingi 25 per sms ila inapungua kadiri SMS zinavokuwa nyingi.Kama Unataka Tutumie list yetu ya SMS ambayo imegawanyika kwa kila mkoa,kila wilaya,kila aina ya shughuli za kiuchumi na Orodha ambayo ni random basi kila sms itagharimu TSHS 30 na itapungua kadiri unavotumia watu wengi zaidi.

Karibu Sana

The same Applies kwa BULK EMAIL ila bei ya Email inaazia shilingi 30 kwa email moja kama email list ni ya kwetu.Kama ni ya kwako ni shilingi 15 kwa email.Iwa po utahitaji tukufanyia uandishi wa email yako gharamaya email moja ni Shilingi 75,000 ambapo itatumwa kwa watu 100 katika mailing list yetu na itakuwa na online link ya mtu kusomea kwenye browser na kushare link na watu wengine.

Tunatuma email na sms pamoja na kuzimonita iwapo zinaperform vizuri,kukutungia ujumbe Opt in Opt Out link.Pamoja na online links

Karibu sana Mkurugenzi
 
Back
Top Bottom