Kuna mtaalam mmoja huko uingereza aliwahi kusema "Jambo jema likifika kwa wajinga, hugeuka dhahama"
Mfano wa Msemo huu tunaweza kuurejelea kwenye tamthilia ya "The god must be crazy" pale ambapo Chupa iliangushwa kutoka kwenye ndege na kuokotwa na 'Bush man'!
Kwa hali yao ya ujinga, ile chupa...
Habari wadau wa JF?
Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu wako kwa mtoa huduma wa Afya uliekutana nae mara ya mwisho kabisa.
Pia, unaweza kuchangia chochote...
Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako?
i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu.
ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka.
Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali.
Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
MAABARA NI NINI
Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
UTANGULIZI:
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
Good morning future Billionnaires[emoji23]
Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri.
Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.