hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa: Viatu vya Magufuli vinamtosha Rais Samia

    Ms. Jesca Kishoa, Mbunge Kwa mujibu wa IMF takribani fedha zaidi $1 trillion zilitengwa mahususi kama mpango wa dharula wa kuwezesha kifedha zaidi ya nchi 90 zilizoathirika na UVIKO-19. Mpaka sepemba 2021, IMF kupitia Rapid Credit Facility (RCF) na Rapid Financing Instrument (RFI) imeidhinisha...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  3. B

    JamiiForums Tanzania UN - Tusidanganyane, kama Taifa Tulipwaya

    Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta. Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi. Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani...
  4. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania 2021 UNGA: Hotuba ya Rais wa Ghana, Nana Akufo Addo Ndiyo Hotuba Bora Kabisa Inayogusa Mambo Mtambuka Yanayolikabili Bara la Afrika

    Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa kujenga uchumi ambao hautegemei misaada na mikopo, kwa sababu uzoefu wa muda mrefu na wenye uchungu...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

    Waungwana, nawasalimu! Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani. Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya hayati Magufuli ya Julai 17, 2018, kwa vyama vya siasa vya nchi mbalimbali za Afrika

    HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO KATI YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA NA VYAMA VYA SIASA VYA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA HOTELI YA SERENA, DAR...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 40 ya World Vision Tanzania - Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi

    Leo hii tarehe 2 Septemba, 2021 Shirika lisilo la Kiserikali World Vission limeazimisha miaka 40 ya utendaji kazi yake hapa Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu. Kwakweli naomba na mimi niungane na Watanzania wengine kuwapongeza World Vission Tazania kwa kazi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

    Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kwa Watanzania kupitia Mkutano wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Jijini Zanzibar tarehe 8 Agosti 2021 UTANGULIZI Ndugu Wajumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Ndugu Watanzania wenzangu, Kwa takribani mwezi mzima sasa, nimekuwa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

    Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, uongozi si hotuba zenye maneno matupu. Uongozi ni matendo yenye matokeo ya ulichotamka

    Mwendazake Rais John P. Magufuli alikuwa na sifa moja nzuri kwa kiongozi yeyote. Kusimamia utekelezaji wa kile alichoamini na kukiamua bila kujali matokeo yake yaani yawe wazuri au mabaya, hasi au chanya. Alikuwa ni aina ya viongozi "risk takers". Hakuogopa matokeo ya kushindwa. Nadhani ndiyo...
  11. Mr Q

    JamiiForums Tanzania "Sakramkritorevibieji" alisikika Kabudi mwishoni mwa hotuba yake nchini Kenya

    Tafadhali sana hilo neno haliandikwi wala kutamkwa hivyo ila linasikika nna hiyo (kama kabudi alivyo litamka) wakati fulani akitoa hotuba nchini kenya wakati akiwa waziri wa mambo ya ncho n.k Na alilitamka wakati akihitimisha kwa kusema forgive me for my "sakramkritorevibieji" words and perhaps...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Mwanza Ilivyopotoshwa ili Kuuficha Ukweli

    Ninalazimika kuuleta uzi huu baada ya hatimaye kupata nafasi kuisikiliza sehemu ya hotuba ya mheshimiwa Mbowe: Katika hotuba hii, sioni popote penye tatizo lolote na mtanzania yeyote: 1. Kwamba kuna wagonjwa wa Corona na watu wanakufa nchini kote? 2. Kwamba wahanga hawa wanalazimika...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kuchukua mazuri yote katika hotuba ya Mbowe ya Mwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akila kiapo cha kuilinda katiba ya Tanzania Hapo awali nimefupisha hotuba ya Mbowe kama ilivyotolewa kwa waandishi wa habari pale Mwanza jana. Sasa niko tayari kuifanyia uchambuzi kulingana na taarifa za ziada nilizozikusanya kutokana na wadatishaji wangu...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki: Kampeni za kimataifa kuwafikia Diaspora. Mbowe, Lissu, Mnyika kuhutubia

    Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa, sasa ni zamu ya Kimataifa, Tundu Lissu, John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali. Wote Mnakaribishwa.
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Upande wa Pili wa Hotuba ya kuaga ya Baba wa Taifa ukumbi wa Diamond 1985

    UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie. Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
  16. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Hotuba yangu kwenye Kongamano la Katiba Day

    Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day 01/07/2021. Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa Watoa Mada wakuu Prof Rwaitama na Askofu Emmanuel Mwamakula. Wageni waalikwa wote na vijana wenzangu, itifaki...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020. Mdude...
  18. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nini matumizi ya Maikrofoni nyingi kwenye kutoa hotuba za viongozi?

    Kazi ya microfoni ni nini? Mbona viongozi wengine huwa na microfoni nyingi sana mbele yao wakati wakitoa hotuba na wengine huwa na moja au mbili (stereo) tu? Je, wingi wa microfoni husaidia hotuba kuelewka?
  19. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye Video au Audio za hotuba za Sokoine?

    Habari wakuu. Nauliza kama kuna mwenye video au audio ya sauti ya Marehemu Sokoine? Msaada kwa mwenye nazo....
Back
Top Bottom