hotel

  1. JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la Hotel sheria zinasemaje? Maana tusije fikishana mbali

    Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Hotel or lodge, Airbnb nzuri kwa Dar

    Hello guys habari za asubuhi Samahani naomba kwa wenye kufahamu hotel, lodge au airbnb kwa hapa Dar es salaam ambayo naweza kaa kwa usiku mmoja wa leo ila cost zisivuke 150,000 Naomba kuzifahamu kwa majina na maeneo zilipo zisiwe nje sana ya jiji ili iwe rahisi kwa asubuhi kureport kazini...
  3. JamiiForums Tanzania Old school members wa JF, karibuni tukumbukane kwenye uzi huu. Gathering nights @leo tuko hapa and Kebbys Hotel

    Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Hotel inauzwa, ipo Samora Dar es Salaam. Bei ni dollar milioni 6

    #realestate Hotel hotel hotel Hotel ina UZWA IPO samora Ina vyumba vya kulala 70 Ina sehemu ya ukumbi wa mkutano Bei sawa na bure mteja Njoo haraka ujiokotee Dollar mil 6 karibu sana Tajiri tupo kwa ajili yako 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #tanzania #houseforsale #property #viral
  5. JamiiForums Tanzania Esta Wanyiramba Express kuzindua Hotel Dodoma/Korogwe

    Basi zetu pendwa sasa zitakua zinasimama hotelini kwetu Dodoma na Korogwe ili kuongeza ma0ato ya kampuni
  6. JamiiForums Tanzania Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wa Joshmal Hotel (Arusha) hatujalipwa mishahara wala kuwekewa NSSF kwa muda mrefu

    Naandika ujumbe huu kwa niaba ya wafanyakazi wenzangu wa Joshmal Hotel, Arusha, ili kuwasilisha changamoto kubwa tunayokabiliana nayo mahali pa kazi. Sisi wafanyakazi tumekuwa tukifanya kazi kwa muda wa zaidi ya miezi sita hadi mwaka mmoja bila kulipwa mishahara yetu. Zaidi ya hayo, hatujawahi...
  8. JamiiForums Tanzania Hotel inauzwa, ipo Mtwara, Tanzania. Bei ni dollar 1.6m

    OPERATING BEACH HOTEL FOR SALE IN MTWARA REGION -Invest in this stunning resort and take advantage of the burgeoning tourism industry in Mtwara. -This is your chance to own a piece of paradise and capitalize on a promising future. Features of the Hotel: - 45 rooms - Restaurant -...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harambee Stars Left Stranded in Pretoria Hotel Lobby

    Kenya's national football team, the Harambee Stars, was reportedly left waiting in a hotel lobby for several hours upon arrival in Pretoria, South Africa, ahead of their two-match friendly series against Lesotho. According to sports journalist Kevin Teya, the squad was initially taken to a...
  10. JamiiForums Tanzania Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

    Kitambaa Cheupe mnapazingizia tu. Pana wastaarabu sana. Izo sehemu mbili tajwa kwa level yangu ya dhambi, nimeona mengi sana.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mapazia ya kisasa, designing and installation kwa ajili ya nyumba, hotel, offices etc

    UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨ Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”. Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA. Pazia si...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Airbnb, Lodge, Camp Lodge na Hotel.

    Habari za Jumapili.? Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia. Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania USHAURI: Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station linafaa kuwa Hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano

    Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front, Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Hoteli ya Lukuvi (GerWill) Waangua Vilio Vya Majonzi

    Ndugu yangu Mtanzania, Habari Ni kama inavyosomeka =========== Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo. Soma Pia: Waziri William...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Februari 4, 2026 DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
  16. JamiiForums Tanzania Hotel For Sale Safari Inn

    Hotel For Sale Safari Inn (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts...
  17. JamiiForums Tanzania Wanahitajika wawili waliosomea ‘hotel management’

    Ndugu, wanatakiwa vijana wawili waliosoma Hotel Management Au House Keeping na wenye vyeti vya fani hizo kutoka chuo chochote hapa nchini Tuma maombi yako ukiambatanisha CV na Copy ya vyeti vyako kwenda email ifuatayo joexgroup@yahoo.com atakaekidhi vigezo wa kwanza ndio atapigiwa simu kwa...
  18. JamiiForums Tanzania HILTON HOTEL RENTAL

    habari karibu UJIUNGE HILTON HOTEL RENTAL (HHR) Hii ni platform ya kufanya uwekezaji ambapo inakupa fursa ya pesa mtandaoni Wewe unachopaswa ni kufanya hivi kujisajili kupitia kiungo au link https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC Kampuni inakupa wewe bonus ya kujiunga ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hii kweli ni Hotel ya Abdul? Details zake zikoje?

    Waandamanaji wanachoongea hapa kinafikirisha:
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine - Hotel under siege, UG police breaking in

    BREAKING: Police is now breaking into the hotel where Bobi wine is residing in Lira. The receptionist has been arrested and they’re knocking on every room. They’re commanded by FFUs Mukiibi with quite a number of plain clothed operatives & their car number plates are covered...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…