Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo.
Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa.
Mbali...
Anonymous (f836)
Thread
hospitalihospitaliyarufaa
huduma
huduma nzuri
kitengo
mapokezi
mbeya
mtumishi
nzuri
rufaa
sana
simu
wagonjwa
Ikiwa ni jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali ya Aga Khan Tanzania zimesaini makubaliano ya kushirikiana katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi.
Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkurugenzi...
Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa.
Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
Anonymous
Thread
ajira mpya
dar
hospitalihospitaliyarufaa
kujikimu
mwananyamala
pesa ya kujikimu
==
Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya...
Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga; imewashauri wafanyakazi wake kuwa waangalifu ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo.
===================
Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret confirms one case of mpox from...
Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn
Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa.
Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
Anonymous
Thread
hospitalihospitaliyarufaa
kati
katika
kuona
mara
mara kwa mara
mkoa
mkoa wa morogoro
morogoro
ndugu
rufaa
ugomvi
utaratibu
wagonjwa
wao
Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
Wakati Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi ikikabiliwa na ongezeko kubwa la watoto wachanga, hasa wale wanaozaliwa kabla ya kufikia muda kamili wa ujauzito (njiti), Mpango wa NEST360 kwa kushirikiana na Wizara ya Afya umekabidhi vifaa tiba na wodi maalumu zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 217...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA
▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio
▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa ya huduma ya Afya
▪️Wananchi wamshukuru Mbunge Mavunde kwa utatuzi wa changamoto ya muda mrefu...
Nasikia ni muda sasa umepita mtambo wa kuchemshia vifaa vya upasuaji hapo hospitali ya mkoa Amana umekufa,ili upasuaji ufanyike vifaa vinaendea kuchemshwa sehemu nyingine nje ya hospitali.
Kwa ukubwa wa hopitali ya Amana,nadhani suluhisho lingetafutwa kwa haraka.Inasemekana Mashine iliyopo...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
Waziri wa Afya Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo, kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya kwa kuboresha miundombinu na vifaa tiba.
Waziri Mhagama amesema hayo alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simuyu kwa...
TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
Wakuu hivi katika hospitali zote za rufaa nchini Kuna hospitali yenye mganga Mfawidhi mchapa kazi asiye na makuu kama huyu mama wa kichagga?
Binafsi natamani sana kuona serikali ikiwakutanisha waganga wafawidhi nchi nzima wakutane na kupigwa semina elekezi namna ya kuboresha utoaji wa huduma...
JIMBO LA NAMTUMBO: BILIONI 3.3 ZATUMIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUVUMA
Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, unaendelea kutekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.3 kimetumika katika ujenzi pamoja na kukamilisha jengo la huduma za mionzi pamoja...
MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA
Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2027, ikiwa ni baada ya utekelezwaji kwa awamu tatu za mradi huo muhimu kwa huduma za afya mkoani...
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani Lindi - Sokoine kwa lengo la kupatiwa matibabu.
Katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa marehemu...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za uzazi mama na mtoto na kuwa katika muonekano mpya.
Kauli hiyo...
MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA
Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini.
Mhe. Ndumbaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.