hospital

  1. JamiiForums Tanzania Various job opportunities at Nanguji Memorial Hospital - Morogoro

    Jobs Opportunities at Nanguji Memorial Hospital Morogoro July 2020. In its comprehensive plan to expand the health care base in the country, the leadership of Nanguji Memorial Hospital located in Morogoro Municipality, John Mahenge street announces vacancies in the following fields. Deadline...
  2. JamiiForums Tanzania Nilishtuka nilipomwona mhudumu wa mortuary akihifadhi embe kwenye jokofu lenye maiti Hospitali ya Temeke

    Waungwana kwema ? Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao). Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

    Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD. Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakamega New Teaching and Referral Hospital

    Congratulations to Kakamega Governor Oparanya for working for your people. Mere governors in Kenya are building bigger and better projects than the entire national government of Tanzania. Hii ndio hospitali mpya Kakamega nearing completion. In 2018. By the same governor. Kakamega Stadium...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Hospital gani nzuri mikoa ya kanda ya ziwa yenye Madaktari Bigwa wa Masuala ya uzazi?

    Msaada anayejua Hospital nzuri yenye specialist wa mambo ya uzazi Kanda ya Ziwa aniambie Tafadhali!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nurse claims black patients are being ‘Murdered’ with ‘Gross Negligence’ at NY Hospital amid COVID-19 Crisis

    *A nurse at a New York hospital treating coronavirus patients has called out the “negligent doctors” who she claims are “literally murdering” Black people. In a shocking video shared on Facebook, the healthcare worker, identified by various media outlets as Nicole Sirotek, alleges patients are...
  7. JamiiForums Tanzania Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to construct state-of-the-art outpatient complex at the Naivasha Sub-County Referral Hospital.

    Kenya intends to embark on the construction of a state-of-the-art outpatient complex at the Naivasha Sub-County Referral Hospital. Also Read: Reconstruction of houses in West Pokot Kenya commences Nakuru County Executive Committee Member for Health Dr. Zachary Gichuki Kariuki said that they...
  9. JamiiForums Tanzania Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

    Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua . Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa . Naomba ushauri naomba mniombee.
  10. JamiiForums Tanzania Coronavirus: UK Prime Minister admitted to hospital over virus symptoms

    Prime Minister Boris Johnson has been admitted to hospital for tests, 10 days after testing positive for coronavirus, Downing Street has said. He "continues to have persistent symptoms of coronavirus", a spokeswoman said - including a high temperature. It was described as a "precautionary...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital

    Worrying development Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital. The Kenyan government, through the Ministry of Health (MoH), on Wednesday revealed that one of the patients who tested positive for Coronavirus escaped the isolation facility at...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

    Hapa kwenye hili suala la Corona sijui zitafanyika siasa za kishamba kama za chakubanga au wataamua kuwa wakweli? ama kwa hakika awamu ya tano tumepatikana ila laana hii yote itabewa na wewe Jk ulitufanya vibaya sana 2015. kama kweli umeingia DSM tujitayarishe kuputika labda kuna watu...
  13. JamiiForums Tanzania Wafiwa wazika nguo tu baada ya kushindwa kulipa gharama za matibabu na Mochwari Hospitali ya Bungando

    GTs, Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu. Na hili limetokea mwezi huu, na...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt Ndugulile: Ni marufuku Hospitali kushikilia maiti kwa kile kinachotajwa hadi pale gharama za matibabu yake zitakapolipwa

    Serikali imepiga Marufuku Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati zote nchini kushikilia maiti kudai fedha iliyotumika katika matibabu. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa afya Dk. Faustine Ndugulile wakati akiwa ziarani katika Kata ya Kileo mkoani Kilimanjaro. Hatua hiyo ya Serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Shule ya sekondari nzuri kwa mtoto wa kike

    Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri kitaaluma. 2. Kimazingira. 3. Kimalezi. I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...
  16. JamiiForums Tanzania Hospital nzuri (PRIVATE) ya kujifungulia mjini Moshi

    Salam wanabodi:Naomba anayejua hospital nzuri kwa kujifungulia mjini moshi-Kilimanjaro ila iwe na-: -huduma nzuri -iwe ya private -inakubali bima(NHIF)
  17. JamiiForums Tanzania Mwanangu hawezi kukaa naomba ushauri wa matibabu

    Nina mwanangu ana umri wa miaka 2 sasa. Hawezi kukaza kichwa wala hajaweza kukaa. Nimeenda hospitali hadi leo ni mazoezi tu tatizo hasa sijalijua. Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru. Nipo Zanzibar. MAONI YA WADAU: === ===
  18. JamiiForums Tanzania Hospital Administration at Kingdom’s Business Company limited (KCBL)

    Kingdom’s Business Company limited (KCBL) is in the Process of Establishing a University in Mwanza City-Tanzania and one of required pre-requisite is to have the required caliber of academic staff. We hereby invites applications from suitable and qualified individuals from all over East Africa...
  19. JamiiForums Tanzania Hospitali ni zaidi ya majengo

    Wengi mtakuwa mmesikia jinsi serikali ya awamu ya tano inavyojinasibu kuhusu ujenzi wa hospitali za wilaya, vituo vya afya na zahanati. Maeneo mengi kuna ujenzi unaendelea na Waziri Jafo yupo kila sehemu akikagua. Ni jambo jema lakini kuna maswali ya kujiuliza. Ujenzi huo si sawa na barabara au...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hospitali ya magonjwa ya watoto kwa Dar es Salaam

    Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam. Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana. Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…