hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Hongera Samia kwa kumfanya Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Kwa jina la JMT, nawasalimu sana! binafsi, nafasi ya waziri mkuu ni moja ya nafasi ninayoiheshimu sana na kuiogopa.......tangu nilipopata akili ya kufuatilia mambo ya siasa, mpaka sasa! nikisikia 'Waziri Mkuu', basi picha inayonijia akilini ni; Ukali (kwa wazembe), Uwajibishaji (kwa wakosefu)...
  2. M

    Poleni Wamachinga lakini hongera Rais Samia kwa uamuzi mgumu uliochukua

    Machinga wameondolewa nini kitafuata? Kwanza niipongeze serikali kwa zoezi hili zuri. Kwa kweli ilikuwa kero na sijui tungefika wapi na wababe hawa, maana walijaa barabarani kama magari, mitaroni kama maji taka. Haikuwa nzuri hata kidogo. Waliowaruhusu waliwaita wanyonge na mkakubari kuuitwa...
  3. RC Makalla hongera, umelisafisha Jiji la Dar

    Kweli Jiji la Dar lazima lazima lipewe mtoto wa mjini kuliendesha. Kwa mtaji wa tamko la Rais Samia, RC Amos Makalla amelisafisha Jiji la Dar tena bila vurugu za kupigana virungu. Kwa mtu anayejua kuongoza mass dwellings , ni lazima hatua ya kuondoa machinga imekuwa very well planned. RC...
  4. Hongera nyingi sana kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makalla, umeweza

    Naomba niungane na wana DSM wengine kumpongeza mkuu mkoa kwakweli umeweza unastahili nishani na pongezi ilikuwa sio kazi nyepesi kurudisha jiji katika hali yake baada jiji kuwa ovyo kabisa. Sasa Dar inawaka Manzese leo unaangusha sindano unaiona kongole kwa timu nzima ya mkoa. Ila ushauri...
  5. Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

    Amani iwe nanyi wanabodi! Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu! Ushauri huu niliutoa kwenye Thread hii hapa chini...
  6. Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

    Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Pia mkuu wetu wa mkoa Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
  7. Hongera Samia Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo ilikuwa kilele cha mbio za Mwenge kitaifa huko Chato -Tanzania.Mwenge wetu wa Uhuru ulizimwa rasmi kule Chato. Masikio ya wanachato yalikuwa kisikia Chato ikipewa hadhi ya kuwa mkoa lakini haikuwa hivyo. Nideclare interest kuwa Mimi ni mwenyeji wa kanda ya Ziwa na ninajua maeneo mengi huko...
  8. Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

    Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
  9. Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
  10. K

    Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    Ndugu Mathew Kilama, Wakati nakupongeza kwa kuteuliwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ningependa kukupa angalizo kuhusiana na utendaji usioridhisha wa Tume ya Utumishi wa Umma. Ningekushauli utafute threads humu JF kuhusu malalamiko lukuki ya utendaji mbovu...
  11. Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
  12. Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  13. Hongera Rais Samia Suluhu. Shughulikia changamoto hizi pia

    Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa. Mama Samia...
  14. Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

    Huku ni kudhalilishana tu. Watu wa kimataifa mnaposikia hiyo slogan msije mkachukulie watz wote mabogus. Hapana,ni kikundi kidogo tu kimeamua kinaitwa Utopolo. Waambieni watu Return hii ni kwa mbeleko ya Simba SC
  15. J

    Hongera Serikali ya CCM kwa ujenzi wa barabara zote za Mwananyamala, kura zetu mtazipata 2025

    Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee...
  16. Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi. "Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
  17. Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

    "Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson
  18. Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima. Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
  19. S

    Kwa data hizi hongera Raisi Samia Corona tumeidhibiti

    https://covid.2gis.ae/advice?utm_source=online&utm_medium=mapcontrol&utm_campaign=firsttry
  20. G

    Hongera Sabaya kwa kufunua ukweli, pengine wasiojulikana watajulikana

    Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa na mamlaka ya uteuzi ni dhahiri kwamba kuna uwezekano kwamba nayo ilihusika. Wengi tunafamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…