RC Makalla hongera, umelisafisha Jiji la Dar

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,192
2,000
Kweli Jiji la Dar lazima lazima lipewe mtoto wa mjini kuliendesha.
Kwa mtaji wa tamko la Rais Samia, RC Amos Makalla amelisafisha Jiji la Dar tena bila vurugu za kupigana virungu.

Kwa mtu anayejua kuongoza mass dwellings , ni lazima hatua ya kuondoa machinga imekuwa very well planned.

RC Makalla nakupa pongezi kwa hilo.

Machinga lilikuwa janga la afya
Machinga ilisababisha ajali barabarani
Machinga na vibanda ilikuwa maficho ya vibaka
Machinga hawalipi kodi.
Machinga waliziba mitaro ya usafi wa maji ya mvua.

Sasa Jiji la Dar linarudi kwenye ubora wake.

Hongera sana Amos.
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,736
2,000
Kweli Jiji la Dar lazima lazima lipewe mtoto wa mjini kuliendesha.
Kwa mtaji wa tamko la Rais Samia, Rc Amos Makalla amelisafisha Jiji la Dar tena bila vurugu sa kupigana virungu.

Kwa mtu anayejua kuongoza mass dwellings , ni lazima hatua ya kuindoa machinga imekuwa very well planned.

RC Makala nakupa pongezi kwa hilo.

Machinga lilikuwa janga la afyMachinga ilisababisha ajali barabarani

Machinga na vibanda ilikuwa maficho ya vibaka

Machinga hawalipi kodi.

Machinga waliziba mitaro ya usafi wa maji ya mvua.

Sasa Jiji la Dar linarudi kwenye ubora wake.

Hongera sana Amos.
... yule mshamba (konda boy) angeendesha misheni kishamba kutafuta sifa za kipumbavu; angezua vurugu halafu angesingizia wapinzani kushindwa kwake kisha angetumia risasi za moto kuumiza wananchi!
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
8,251
2,000
Kweli Jiji la Dar lazima lazima lipewe mtoto wa mjini kuliendesha.
Kwa mtaji wa tamko la Rais Samia, Rc Amos Makalla amelisafisha Jiji la Dar tena bila vurugu sa kupigana virungu.

Kwa mtu anayejua kuongoza mass dwellings , ni lazima hatua ya kuindoa machinga imekuwa very well planned.

RC Makala nakupa pongezi kwa hilo.

Machinga lilikuwa janga la afyMachinga ilisababisha ajali barabarani

Machinga na vibanda ilikuwa maficho ya vibaka

Machinga hawalipi kodi.

Machinga waliziba mitaro ya usafi wa maji ya mvua.

Sasa Jiji la Dar linarudi kwenye ubora wake.

Hongera sana Amos.
Ngoja nishuke kwenye boat nikapaangalie kama amepaweza!
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,543
2,000
Yaaani ilifikia hatua hadi vibanda vikawa vinauza bidhaa kwa jumla halafu watu wanaita eti machinga wakati ni wafanyabiashara wakwepa kodi. Machinga wapo na kila siku tunawaona wakitembeza bidhaa hadi majumbani mwetu na wataendelea kuwepo. Hao walioondolewa sio machinga bali wachafuzi wa miji na wakwepa kodi. Duka zima wanapanga barabarani
 
Mkwe21

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,313
2,000
Bado naombea asije tokea mwana sihasa akamvurugia Makalla plan alizoziweka!! Nafikiria hadi mwisho wa mwezi mambo yatakuwa mazuri, na kila kitu kitakaa sawa!! Hongera sana mheshimiwa Makalla umeokoa wengi na magonjwa ya kisukari kwani sasa mjini tutaweza kutembea kama sehemu ya mazoezi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom