Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,915
- 71,493
Ni mambo ya ajabu hiki chama cha kuendekeza ufisadi na uongo.
Kuna kasoro nyingi sana za muungano, lakini jambo la ajabu ni kuwa kasoro hizo zikizungumzwa na kiongozi wa CCM basi anashangiliwa hadi wabunge wanataka kupanda juu ya meza.
Ila hoja hizohizo zikiongewa na Mbowe au Lissu mpaka kina Kinana watatoka mafichoni kuja kumwaga hoja pointless mpaka aibu.
Huu unafiki utaisha lini?