hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania hawakuwa miongoni mwa Walinda Amani wa UN waliouawa katika helikopta nchini DRC? Serikali tutoeni hofu

    Kuna Ndege (Helicopter) ya MONUSCO (Askari wa Kulinda Amani huko Congo DR) Jana imedunguliwa ikiwa na Askari Nane ( 8 ) wa Kulinda Amani na Wote wamefariki dunia. Natambua kuwa Tanzania ina Askari wake wengi pia huko ambao 'batch' ya mwisho iliondoka Wiki Mbili au Tatu tu zilizopita baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau Watanzania wanaitaka Katiba Mpya au ni hofu tu?

    “Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?” Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
  4. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya majaribio makubwa tangu 2017

    Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017, huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyeshiriki naye ngono kakutwa na VVU, nina hofu japo tulitumia kinga

    Ni miaka 6 sasa sijawai fanya ngono peku (unprotected sex) na miezi 5 sijafanya ngono hadi wiki 3 zilozopita. Demu niliyemangana naye nilipotezana nae miaka mingi nilipoonana naye nilimtaka tena kukumbushia na nikampiga Mara 4 na kondomu bao 1 kila tendo ktk wiki 3 zilizopita Demu kapima Leo...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Chelsea kuwekwa sokoni, kocha apata hofu wachezaji kuikimbia klabu

    Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi yatiwa hofu na inteligesia ya Marekani kuhusu uvamizi Ukraine

    Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine. Taarifa hizi, sio tu zinatokana na images za setilaiti bali ni zile ambazo zinatoka ndani kabisa ya jeshi la...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

    Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa! 3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

    Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
  10. JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

    Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000). Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea! Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
  11. JamiiForums Tanzania Algophobia: Hali ya kuwa na hofu isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Mwili (Mf. Kuchomwa Sindano)

    Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano) Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea tutarajie Spika mpya kuwa na hofu, asiye na maajabu

    Kwema Wakuu! Wote tumeshuhudia yaliyotukia. Yanastaajabisha na hata hivyo yanadhihirisha nyufa za wazi ambazo Kama taifa tunapaswa kuzifanyia mpango tuzizibe. Kilichotokea kinatukumbusha umuhimu wa Katiba mpya ndani ya taifa letu. Hata hivyo mambo haya yanabidi Yatokee mara Kwa mara na yaguse...
  14. JamiiForums Tanzania Tunakopesheka: Ondoeni hofu

    Kukopesheka Ni sifa ambayo sio kila mtu anaweza kuwa nayo. Hata Marekani anadaiwa. Ondoeni Shaka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha na hofu hapa, sijamuelewa kabisa

    Jana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama ilivyopangwa (namshukuru sana kwasababu alinisave kinoma 🙏) na hata msosi alishakula kwao. Kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kuna watu wakisikia jina la January Makamba wanapatwa na hofu?

    Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote. Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu...
  18. JamiiForums Tanzania Kheri iwaendee wazazi wa watoto hawa wanaokuzwa katika maadili na hofu ya Mungu

  19. JamiiForums Tanzania Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

    Habari za muda huu wadau wote wa Jf! Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema. Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Siasa gani hizi! Hofu yote ya nini hii?

    Mbona kama ni wazi kabisa wanaCHADEMA wamekuwa subject wa manyanyaso nchi hii? Tatizo ni nini? Hawa wanaCHADEMA wana ubaya gani? Mbona mie mwenyewe wanangu ni wanaCHADEMA na sigombani nao pamoja na UCCM wangu? Tatizo liko wapi? Mbona tunajitengenezea mazingira mabaya hivi? Kwa nini inakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…