hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

    Ijue story ilipoanzia 👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
  2. Hommy

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hofu yatanda Ligi Kuu

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea miujiza kutoka kwa wapinzani wao ili kuepuka kushuka daraja. Pengo la pointi baina yao na timu zilizo...
  3. Qzam

    JamiiForums Tanzania Hofu inaturudisha nyuma wengi

    Habari jamvini. Nikikuambia Leo Fanya chaguzi ungechagua IPI? Una m2.5 unatakiwa uwekeze. Nunua voda umpe kijana akupe hesabu kila siku 10,000 bila kukosa kwa siku 365. Njia ya pili uwekeze kwa MTU usiyemjua akupe asilimia 1 kila siku kwa siku 365. Ungechagua nini, toa sababu ya jibu lako...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

    "Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili"" Wananchi msiwe...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Bodaboda haina madhara ama ni hofu na woga wa wanasiasa unaowafanya wagombane?

    Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake? Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama. Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi...
  6. blogger

    JamiiForums Tanzania Mikopo inatisha, yanaenda wapi hayo matrilioni!

    Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!? Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee. Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara? Kuna watu hapa...
  7. Phobia

    JamiiForums Tanzania Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

    Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani. Niko na age 27 ila mpaka sasa...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM kwa vyama vya upinzani ni ya kweli?

    CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Je, hofu hii ni ya kweli na dhahili? Je, wanasiasa wa vyama vya upinzani wanao uwezo wa kudumisha mshikamano...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

    Katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa Mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

    Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali. Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai. Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie. Muda wowote na wao watafyekwa.
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Panga Pangua ya Rais Samia yatanda serikalini

    Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza ahadi yake ya kuisuka upya Serikali. Kufuatia ahadi hiyo ambayo haijulikani ukomo wake, baadhi ya wateule wanaishi kwa...
  12. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

    Hello! Hofu imewakumba Wazazi kufuatia kuripotiwa Kwa taarifa kwamba Watoto wamekuwa Wakifundishwa kulawitiana wakiwa Mashuleni. Shule ndio zilikuwa kimbilio la Wazazi lakini nako sio salama tena, kama jamii tunaelekea wapi? Yale maadili ya Watznzania Yako wapi? Kila siku tunaingia makanisani...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kwa huu ukaribu wa Ronaldo na Mbappe na Mwamuzi Mreno kuihukumu fainali Jumapili, mashabiki wa Argentina tuna hofu

    Haiwezekani Mchezaji Christiano Ronaldo Siku zote alikuwa hana Urafiki na Kylian Mbape na Timu ya Ufaransa leo hii amekuwa nae na kuwa nao bega kwa bega. Haiwezekani FIFA wanajua fika kuwa Wareno kwa Upendo walionao kwa Ndugu yao Christiano Ronaldo Wanamchukia Mchezaji Lionel Messi halafu leo...
  15. Chura

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi hiki mbona hawana hofu ya Mungu jamani?

    Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu 2019 mpaka jana tulipoweka nukta. Kilichonichosha mpaka nikaandika uzi huu ni kuwa, jana aliniomba...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto, Hofu na Uchamungu

    Salamu kwenu wana JF, aomba kuuliza kitu wanajamvi, Ni kipindi gani mtu anapenda kuwa karibu na Mungu kati ya hivi vifuatavyo? Yaani anapenda kusikiliza nyimbo za dini na kusifu, anaswali sana, kufanya toba na ibada, anasoma Biblia au Quran mno; 1. Akiachwa ama kusalitiwa na mpenzi au...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Israel yaibembeleza US kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran

    Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

    Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina. Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwambieni Waziri Mkuu "Watu wake hawawezi kumpenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa"

    “Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa. “Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa...
  20. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Huenda baadhi ya ripoti za tume na kamati zinazoudwa hushindwa kuwekwa wazi kwa sababu ya hofu

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ametoa maoni kuwa uenda baadhi ya ripoti za Tume na Kamati mbalimbali ambazo huundwa kuchunguza masuala mbalimbali ushindwa kuwekwa wazi kwa kuwa taarifa zinaweza kuwa zinawagusa wenye mamlaka...
Back
Top Bottom