hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi pesa ni za nani na zilikuwa ni kiasi gani?

    Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu. Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  2. Hizi ndio hesabu za Ney wa Mitego kwenye wimbo wake mpya uitwao " Baba"

    Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake Lengo Hasa...
  3. Hizi tamaduni za Kizulu, acha tu

    Wakuu mliowahi kuishi South haya maisha ya wazulu mnayaonaje? Ndio maana wazungu waliamua kutufunga waafrika spidi gavana kutuletea magonjwa ya ajabu ajabu, tungeuana kwa kweli. Wazulu jamani mtakuja kuniua.
  4. Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

    Naona wanatupia picha zenye makalio yao,sasa sijui ndio kututamanisha tuvunje amri ya Mungu inayotuasa tusitamani mwanamke asiye mke wetu au vipi? Mimi kama kijana wa kilokole sijapenda hii tabia yao kwa kweli.
  5. I

    Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  6. B

    Waziri January Makamba unakwenda kufeli kutokana na sababu hizi

    Nikiri January ana uwezo mkubwa wa akili ila siyo mjuvi wa mambo yote. January siyo mtaalamu ila ni Kiongozi wa kisiasa. Januari anazo sifa zote za Kiongozi wa kisiasa lakini Hana sifa zote za Kiongozi wa taasisi. Ana mapungufu, na mapungufu aliyonayo ndiyo yaliyopelekea muundo wa taasisi za...
  7. Nitashangaa kama hizi degree na mwaka huu zimepewa wanafunzi

    Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu. Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama...
  8. Q

    Dkt. Benson Bagonza: Wakati wa Mwalimu ukimsifia anakushusha cheo. Enzi hizi ukisifia unapandishwa cheo

    Alikuwa akihojiwa na Maulid Kitenge kuhusu kusifia kila kitu yeye akasema, hajui kutaga yai lakini yai bovu analijua, ‘mimi kama kiongozi wa dini wajibu wangu ni kuangalia wapi panahitaji kunyooshwa sio wapi panahitaji kusifia, wakati wa Mwalimu ukimsifia anaku- demote siku hizi ukisifia sifia...
  9. Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

    Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet?? Zifuatazo ni bei Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes rate ( 1 kes = 20.7 Tzs) Huko kwenu majirani hali ikoje??
  10. Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

    Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
  11. R

    Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

    Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo...
  12. M

    Haji Manara naye siku hizi hamnazo! Kumbe hakukosea!

    Kumbe Haji Manarà alikuwa sahihi aĺiposema mtu ukiwa yanga unajikuta kichwani hamnazo. Yeye mwenyewe yamemkuta hayo hayo! Zilikoenda akili hata yeye mwenyewe hawezi kujua!! Utopolo sijui wanalogana namna gani!
  13. Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

    Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?
  14. Watoto wetu wa Siku hizi 'mnapotupiga' Wazazi wenu Pesa kwa 'Kutudanganya' msidhani huwa hatujui ila tunakausha kwakuwa nasi 'tuliwapiga' Babu zenu

    Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya. Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…