Salamu wakuu, nina uhitaji wa movie na season kwa mwenye nazo, anaweza nisaidia au tukafanya biashara nikampatia kiasi kidogo Cha fedha.
Ninapenda movie za aina nyingi ziwe za kizungu, kihindi,kichina na hata za kituruki. 👉Ziwe za action,commedy, investigation na hata wizi.
List yangu ni...