hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa propaganda hizi zilizoandaliwa na Tume ya Chande kweli mko serious mnataka Maridhiano? Bila ukweli na Uwajibikaji sioni Maridhiano yakifanikiwa

    Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie

    Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie 1. The Wolf of Wall Street “Jinsi ya Kumfanya Mteja Aseme NDIYO Haraka” 2. Glengarry Glen Ross “Ukishindwa Kufunga Deal, Umefeli Maisha” “Hakuna Huruma Kwenye Sales” 3. Boiler Room “Jinsi ya Kuuza Bila Aibu (Na Kufunga Deals)” 4...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye kuzifahamu hizi saa namba ushauri

    Casio ABL-100WE
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

    Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa. Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Sababu za Jenerali Ulimwengu kuzinguana na Mkapa hadi kunyang'anywa uraia

    Japo Jenerali Ulimwengu anasema hakuwa na urafiki wa karibu na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, wawili hao wana historia ya kufanya kazi pamoja, tangu wakiwa gazeti la Daily News miaka ya 1973- 74 na baadaye walipokutana kwenye siasa. Hata hivyo, ilifika mahali wawili hao wakatofautiana na hapa...
  6. JamiiForums Tanzania Masomo Yanayoongoza Kuzalisha Mamilionea Duniani.Kwa Takwimu Hizi Wanangu wa Kilimo Tutatoboa kweli au Tuhame Kambi?

    My Take Kwa wale tulioko kwenye sekta ya Kilimo ,hizi takwimu zinakatisha tamaa na zinalazimisha kurudi kwenye drawing board. https://www.threads.com/@thestarkenya/post/DXZ5Ey4jQ-b?xmt=AQF0I7ra76rglfFzjxe5u6sxGi2YPqdh3zZJ9wuksUZgTpM7mQGwAQJMz-9oOcbbZfeauGA5&slof=1
  7. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya CHADEMA kukubalika nyakati hizi wakiwa na wanawekewa Kizingiti kila kona?

    Baada ya hukumu ya mahakama ya rufani kuruhusu Chadema iweze kufanya siasa zake hapo ndipo mambo yamejidhihirisha wazi kuwa Chadema ina kubalika na ina nguvu. Mikoa yote ya Tazania bara ilikuwa ni shangwe na nderemo. Swali kubwa la kujiuliza ni kwa nini Chadema inazidi kupata nguvu ikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Tuhuma hizi kuhusu Pesa alizopewa Yanga Zina ukweli, Gerson Msigwa Jiuzulu Mara Moja ni Aibu

    Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI? Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi zote ni propaganda za CCM tu na chawa wao. Behind the scene, Samia alisha - surrender kitambo kwa mwamba Tundu Lissu. Fuatilia mjadila👇🏻

    Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala, Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

    Kumchizisha ndugu yako awe ndondocha, kila siku unaporudi unajijua wewe ndio chanzo chake kuwa chizi Kumuua mzazi wako, mtu aliekuleta duniani umemtoa duniani anatumika kama msukule. Kumuua mtoto wako, damu yako umeitowesha duniani kwasababu ya tamaa yako ya pesa. kukatazwa kusaidia ndugu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Miliki apartments hizi kwa kianzio kidogo tofauti na unavyofikiria

    APARTMENTS ZINAUZWA, LOC MSASANI BEACH. Mango tree residence ni mradi mpya unaojengwa hivi sasa eneo la Msasani beach nyuma ya nyumba ya mwalimu nyerere mikocheni. Mradi huu ni mradi mpya utakaokuwa na apartment za kisasa (Luxury apartments) Ni mradi Blocks 5 zenye gorofa 17 kila blocks Mradi...
  13. JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Niaje waungwana Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea. Njia ya kwanza ni Russia. Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame. Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
  14. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  15. JamiiForums Tanzania Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

    Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani. Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika? Pia soma: Sarafu bandia za 200 ni...
  16. JamiiForums Tanzania Chama cha riadha kidhibiti hizi marathon za kihuni zinazofanyika kiholela kama hii Akili Marathon

    Mimi kama mdau mkubwa wa riadha ninaandika kwa huzuni kutokana na malalamiko ya watu kuhusu mbio za Akili Education Marathon. Walioshiriki wamejitokeza hadharani na kutupa lawama za kutosha kwa waandaaji. Wanasema mbio zilichelewa kuanza na huduma barabarani zilikuwa za kishenzi sana. Maji...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali zifute hizi taasisi kwa manufaa ya umma

    1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Nichukue lipi kati ya magari haya?

    Habari wakuu,naombeni ushari nilikuwa na gari aina ya toyota belta nataka kubadilisha na nimepata toyota premio second generation (T240) namba E engine 1NZ na nyingine ni toyota Premio new model (T260) namba D engine 2ZR...je nichukue ipi kati ya hizo gari mbili ikiwa bajeti zao hazipishani sana?
  20. JamiiForums Tanzania Ukiona Redflags hizi, usioe

    UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE 🚩 Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha. Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri 👇 1. Hana tabia ya kukubali makosa Kila kitu ni kulaumu wengine(sababu kibao)… hana “samahani” ya kweli. 2. Anatafuta attention kwa wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…