hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  2. JamiiForums Tanzania Na hizi ndio sadaka zetu za siku ya leo..!!!

    INTRODUCTION: Ndugu moderators naomba uzi huu usipelekwe kwenye Forum ya Dini. Natumaini nimeeleweka. SCENARIO: Mistari ya Machungaji/Padre kwenye ibada/misa moja ... 1. Tutaanza na sadaka ya ujenzi wa kanisa ..... 2. Jamani kanisa linampango wa kutembelea wajane na mayatima, tafadhali tutoa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hizi pingamizi kwa wachezaji wa Simba maana yake ni nini?

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Hadhi ya Wachezaji, wachezaji watatu wa Simba wamewekewa Pingamizi na vilabu tofauti. Yusuph Kagoma, Awesu Awesu na Valentino. Pingamizi la Kagoma ni Yanga kudai Singida fountain gate hawajarudisha pesa zao baada ya kuwalipa lakini mchezaji walishindwana naye...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

    Niko hapa kituo flan cha daladala Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi. Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Nitumie njia Gani kati ya hizi

    Kuna ishu nataka nifix mtandaoni Sasa nimekuta Wana hii type of payment naomba mnielekeze nitumie hipi ambayo inasupport apa bongo
  6. JamiiForums Tanzania Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

    Habari ya 8 8 viongozi, Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania. Nitaanza kama ifuatavyo. 1. Dar es Salaam na viunga vyake Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi online companies za kukopesha pesa!

    Habari! Hapa tunazungumzia PesaX, FiniLoan na kadhalika. Hizi ni online platforms ambazo zinajinadi kuwa zinakopesha pesa. Vigezo vyake huwa ni namba au kitambulisho cha NIDA, leseni ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura, au cha utaifa. Nina maswali mengi sana. Hizi platforms zinapata faida...
  8. JamiiForums Tanzania Juhudi zote hizi zipotee,hata Mimi nitakata rufaa

    Huyu Sweetbert Nkuba ana haki ya kukata rufaa sio kwa Mbwembwe kqma hizi
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali mpaka haileti huduma ya maji na miundombinu ya barabara?

    Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi. Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji
  10. G

    JamiiForums Tanzania Unawaza mnunue kiwanja mjenge mwenzako anawaza anunue kabati amtuze shoga yake kwenye shughuli, Epuka hizi type kama unajitafuta, utazeekea magetoni.

    Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta. Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende...
  11. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

    1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba 2. Ukiwa kanisa lipo karibu na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Injinia Hersi hizi za chini chini Mimi niliye mbali Kijiografia nilizonazo na Wewe pia unazo au?

    Kuwa kuna Mtu Kesho Citizens Day anaweza akayakoga Matusi makubwa, kutakiwa aondoke na hata Kupopolewa pia.
  14. JamiiForums Tanzania Hizi tuzo zinaenda fasta kama vyeti vya form kwenye mahafali

    Tff waliangalie utoaji gani huu wa tuzo mbiombio kama mwenge
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini Mikataba ya Wachezaji ina asili ya kikoloni nyakati hizi za uhuru wa Mwanadamu?

    Nijuavyo mie, kazi ya Mchezaji Mpira (Professional player) ni kazi ya ajira kama ilivyo kazi nyingine. Sasa, kwa ushamba wangu na kutokujua kwangu huwa nashangaa mambo haya: - Mikataba haiwapi wachezaji uhuru wa kuvunja mikataba yao wakati wowote kama ilivyo kwa waajiriwa wengine. Mikataba...
  16. JamiiForums Tanzania Upi utofauti wa hawa mamba wawili?

  17. S

    JamiiForums Tanzania Iliyokua Sodoma na Gomora ndio nchi gani siku hizi?

    moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa. mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi. unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50...
  18. JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji G/Pixel 4 ama 5...Nishauri kwa sifa na uwezo kati ya hizi.

    Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google.. Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili... Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6. Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake. ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

    Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo: 1. Bachelor degree in Banking and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…