hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani anazifahamu hizi karanga na zinakopatikana

    Kama unazo njoo inbox USSR
  2. Y

    Hizi dawa zilinisaidia maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
  3. Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

    Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai Huyu Baba...
  4. M

    Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

    Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata...
  5. Katika ajira hizi mpya za uwalimu, serikali inaitaji walimu 6 tu, Tanzania nzima katika soma la Economics

    Kwanza imenibidi nicheke, Ndugu yangu kaniomba hapa nimpe ushauri hasa ajaze mkoa gani kati ya iringa, morogoro na Dodoma kwa ajili ya oral interview... Yeye ni mwalimu wa Economics, sasa nikamuuliza kwani kwa ujumla mnaitajika walimu wangapi katika hilo somo? Ndiyo ananiambia kuwa Tanzania...
  6. Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  7. S

    Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  8. Kwanini wasomi (wazazi) wengi wa siku hizi hawamiliki assets?

    Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985). Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja). Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi. Lakini ninyi mmesoma hadi vyuo vikuu na mna kazi...
  9. Utasa wazidi kuwa tishio chukua hatua hizi

    Utasa ni hali ya wenza wawili wanapokutana kimwili kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kushika ujauzito kwa mwanamke Leo ningependa niongelee utasa kwa mwanamke Mwanamke katika jamii nyingi ndio huonekana tatizo endapo mimba isipotungwa, kiutafiti aslimia kubwa zaidi utasa katika wenza hutokana na...
  10. Ahadi kama hizi Ndio zinakosesha imani kwa Utawala Huu

    Fikiria ahadi kama hii ambayo inahusu usalama wa maisha ya Raia yaliyo potea na hakuna lililo fanyika bali ahadi hewa! Nani atakuwa na imani tena na kiongozi huyo? Wananchi kama WAAJIRI wanapaswa kufanya nini kama sio kukufukuza kazi kwa njia ileile waliyo kuingiza kazini yaani KURA? Au watumie...
  11. Swali kuhusu hizi picha

    Je wanatumia program/ application gani ku create hizi pc wakuu??
  12. Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

    Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!! Mungu ni mwema kila wakati!!
  13. Tazama magoli katika video hizi mbili kisha eleza umegundua nini?

    Ukitazama kwa makini utagundua hawakukosea kumuita 'Think tank'
  14. G

    Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

    BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana. KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
  15. KWELI Picha hizi za milima moja imetumia Akili Mnemba na Nyingine ni picha halisi

    PICHA A PICHA B
  16. K

    Naomba msaada wa kupata nyaraka hizi tafadhali

    Habari, Husika na mada tajwa kwenye heading. Ninahitaji hizi nyaraka Nahitaji. 1. Circular Letters 1999 - 2020 2. Public Service Act & Regulations 3. Employment & Regulations act 2004. Kwa ajili ya marejeo na maarifa zaidi. Shukrani!!
  17. R

    LIBERIA 1980: Picha hizi zinatia huruma sana, waafrika tu wanyama! Why all this?

    LIBERIA 1980 Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980 A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis. On April 12, 1980, Samuel Doe led a military coup, killing...
  18. Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
  19. G

    Kwa namna ya uchezaji na midundo inayovutia, hizi ni ngoma za kikabila zilizonivutia zaidi

    1. WAHAYA - Ngoma zao nazielewa sana vile wanavyo tumia miguu kusigina na kutumia viuno na mikono, ni ngoma inayochezesha mwili mzima. 2. WAZARAMO - Napenda zaidi vyombo vya wapiga ngoma, ni vibe la hatari ila kucheza ngoma hakuna mpangilio. 3. WASAFWA - Hawa ni kabila lipo Mbeya, Ngoma zao...
  20. Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…