ESCORT 1 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 1,516 Reaction score 3,395 Jan 28, 2025 #1 Sijawahi kueleww lengo la kuweka kalamu kwenye boxer! Lengo ni nini hasa?
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 2,382 Reaction score 8,564 Jan 28, 2025 #2 Ni zawadi tu, hata kwenye vest wanaweka. Au ndi unaanza kuninunukia boxer?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,166 Reaction score 103,461 Jan 28, 2025 #3 Zawadi tu. NB;Kuorodhesha mishangazi iliyoona boxers zako mubashar/live!
Emilio Mzena JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 268 Reaction score 639 Jan 28, 2025 #4 Moisemusajiografii said: Zawadi tu. NB;Kuorodhesha mishangazi iliyoona boxers zako mubashar/live! Click to expand... Fala sana 🤣
Moisemusajiografii said: Zawadi tu. NB;Kuorodhesha mishangazi iliyoona boxers zako mubashar/live! Click to expand... Fala sana 🤣
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 7,126 Reaction score 12,151 Jan 28, 2025 #5 Ulitaka ukute miwa? Hiyo kalamu umeuziwa kijanja pamoja na boxer ..
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 14,912 Reaction score 28,655 Jan 28, 2025 #6 Wanajua consumer wengi ni wanafunzi
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,853 Reaction score 9,367 Jan 28, 2025 #7 Mi mwenyewe huwa nashangaa ngoja waje wajuzi huenda tukaelewa
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,208 Reaction score 64,298 Jan 28, 2025 #8 Ni moja ya njia za masoko za kumshawishi mnunuzi; mfano kwenye jinsi unaweza kuta pochi n.k
Baraka Kasinge Member Joined Apr 4, 2016 Posts 68 Reaction score 81 Jan 28, 2025 #9 Usizichome, ndugu.
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,565 Reaction score 22,899 Jan 28, 2025 #10 Zangu nilikuta na daftari
B Brelim Skoro_ JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,920 Reaction score 37,191 Jan 28, 2025 #11 Nahisigi wanakumbusha kusoma kuwe juu kuliko Miti.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,538 Reaction score 76,478 Jan 28, 2025 #12 Umenunua Uvae Hizo Boxer
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,052 Reaction score 102,516 Jan 28, 2025 #13 Autograph kwa mademu utakao wakula.
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,508 Reaction score 10,083 Jan 28, 2025 #14 Kuandikia idadi ya pisi ulizozichapa.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,964 Reaction score 131,427 Jan 28, 2025 #15 Na kwenye condom watuwekee na mbunye
Emilio Mzena JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 268 Reaction score 639 Jan 28, 2025 #16 Wangeweka walau vitumbua
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,166 Reaction score 103,461 Jan 28, 2025 #17 OC-CID said: Fala sana 🤣 Click to expand... Kinomanoma ile ngumu.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,166 Reaction score 103,461 Jan 28, 2025 #18 Mbaga Jr said: Na kwenye condom watuwekee na mbunye Click to expand... Bado Elon Musk anazibumba vizuri.Ujitulize kama kasuku.
Mbaga Jr said: Na kwenye condom watuwekee na mbunye Click to expand... Bado Elon Musk anazibumba vizuri.Ujitulize kama kasuku.
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,644 Reaction score 23,273 Jan 28, 2025 #19 use it to put a signature on ur lol pop 😌