hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi Dini bwana

    Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ati Mungu Mwenyezi ni jina la Mungu? Hizi PhD za biblia hawa wahubiri wetu huwa wanazipata wapi?!

    Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
  4. JamiiForums Tanzania Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆

    Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele Tunguli KWA ajili ya kunywea maji Chungu...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  6. N

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

    Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada anae weza tambua hizi code

    Habari, inaonekana simu yangu imekuwa ikituma hizi code for sometimes now hasa kupitia mtandao wa Yas, zinafanana na last day imetuma jana usiku muda huo nilikuwa far asleep, kwa yeyote alie na idea hizi code zimeenda 15711 kwa ajili ya nini.? Nimelazimika ku crop screenshot sije nikawa nna...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Press hizi mbili za Wenyeviti wa Chadema kundi lipi ni la kweli?

    ..Press conference ya kwanza hii hapa. https://www.youtube.com/watch?v=lFV-oPTTN28 ..Press conference ya pili hii hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Eidcj4OZ5AI CC Erythrocyte , Tindo, brazaj, Fundi Mchundo
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

    Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja. Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hizi agenda zote Mbowe alikuwa wapi kuzitekeleza?

    Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese:
  11. JamiiForums Tanzania Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  12. JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

    CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha. N.b. MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
  13. JamiiForums Tanzania Watu siku hizi Tanzania wanakufa wakiwa na sura za kung'aa, mashavu yamejaa, miili iliyonona, umri pungufu ya miaka 50; Hii sio trend ya kawaida

    Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa wa ugonjwa ABCDE na hata ukimuangalia marehemu unakuta kweli kachokaa, yaani magonjwa yamempiga...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi; Salah Vs Thierry Henry unamchagua yupi?

    Haya takwimu hizo hapo, nani ni bora zaidi?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena

    Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli" Tundu Lisu , Makamu Mwenyekiti Bara wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Naitazama CHADEMA katika pande hizi

    CHADEMA imejengwa na kujengeka lakini kwa upande wangu naona kuna matatizo haya. Wagombea wanaopendwa hawana fedha kitu ambacho huwanyima wagombea wazuri kupata nafasi na hatimaye kumpa nafasi hiyo mwenye pesa hata kama hakubaliki. Hili hutokea kwenye chaguzi zote za serikali. Pia tatizo...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo noti zitakazoondolewa kwenye mzunguko kuanzia Januari 06 hadi Aprili 05 mwaka huu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025. Zoezi...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe hizi dini zote za kipigaji hakuna dini ambayoo hawataki maokotoo

    um
  20. JamiiForums Tanzania Siku hizi waumini tunapenda mahubiri ya kumiliki vitu vya dunia

    🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa; ✓Acha umalaya ni dhambi. ✓ Acha kudanga ni dhambi. ✓ Acha wizi ni dhambi. ✓ Acha uchawi ni dhambi. ✓ Acha kutoa mimba ni dhambi. ✓ Acha pombe ni dhambi. ✓ Acha rushwa ni dhambi. ✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi. ✓ Acha kubaka watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…