Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa;
✓Acha umalaya ni dhambi.
✓ Acha kudanga ni dhambi.
✓ Acha wizi ni dhambi.
✓ Acha uchawi ni dhambi.
✓ Acha kutoa mimba ni dhambi.
✓ Acha pombe ni dhambi.
✓ Acha rushwa ni dhambi.
✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi.
✓ Acha kubaka watoto.
✓ Acha kuchonganisha watu.
🔘 Bali, huku tukiendelea kutenda dhambi tunataka INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa;
✓ Mwaka huu lazima ununue gari.
✓ Mwaka huu lazima upande cheo.
✓ Mwaka huu lazima upate ajira.
✓ Mwaka huu lazima utajenga.
✓ Mwaka huu lazima ufunge ndoa.
✓ Mwaka huu lazima umalize chuo.
✓ Mwaka huu lazima upate watoto.
✓ Mwaka huu magonjwa yatakuacha.
✓ Lazima biashara yako ifanikiwe.
✓ Mwaka huu lazima utafanikiwa.
Right Marker,
Dar es salaam.
✓Acha umalaya ni dhambi.
✓ Acha kudanga ni dhambi.
✓ Acha wizi ni dhambi.
✓ Acha uchawi ni dhambi.
✓ Acha kutoa mimba ni dhambi.
✓ Acha pombe ni dhambi.
✓ Acha rushwa ni dhambi.
✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi.
✓ Acha kubaka watoto.
✓ Acha kuchonganisha watu.
🔘 Bali, huku tukiendelea kutenda dhambi tunataka INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa;
✓ Mwaka huu lazima ununue gari.
✓ Mwaka huu lazima upande cheo.
✓ Mwaka huu lazima upate ajira.
✓ Mwaka huu lazima utajenga.
✓ Mwaka huu lazima ufunge ndoa.
✓ Mwaka huu lazima umalize chuo.
✓ Mwaka huu lazima upate watoto.
✓ Mwaka huu magonjwa yatakuacha.
✓ Lazima biashara yako ifanikiwe.
✓ Mwaka huu lazima utafanikiwa.
Right Marker,
Dar es salaam.