Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums,
Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
Mpo Salama Kabisa!
Huwezi kuta Msichana Mrembo, mwenye Haiba ya kike akawa Feminist. Huwezi kuta.
Yaani umkute mwanamke mwenye shape lake alafu feminist utasubiri Sana. Au umkute mwanamke mwenye Sura ya kike tipikali awe Feminist. Utasubiri Sana.
Huwezi Kuta Mwanamke aliyelelewa na Baba na...
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu.
Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu.
https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
Kama mjuavyo utundu wa watoto kuchezea simu
Juzi kati kaka shika kiswaswadu changu anacheza game
Na fikiri aliingia pia upande wa kuseti tarehe na mwaka
Akaseti mwa 2099
Massage zilivyo ingia zikaenda kwenye huo mwaka halafu sizioni kabisaa inbox ila juu ya simu inaonyesha kuna massage...
Habari za usiku waungwana..
Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile unaoleta stara ya kibinadamu.
Ni jambo muhimu kwenye maisha ya mtu yeyote mwenye kuyatazama mambo kwa...
Binadamu kiasili ameumbwa na hofu mbili tu,yaani hofu hizi ndio asili yake
Hofu ya kwanza ni kuanguka,hii ni hofu ya asili tangu tukiwa utotoni, ndio maana mtoto ambaye anaanza kusimama mara nyingi huwa na hofu ya kuanguka
Hofu ya pili ni ya sauti, hizi hofu mbili hatukufundishwa bali tumekuwa...
Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL)
Ujuzi: VETA na SIDO.
Makazi: Dar
Naweza fanya Kazi: Popote
Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha:
*Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege (Incubators)
*Uundaji wa mashine za kukausha mazao na samaki
*Uundaji wa mashine za kugandisha...
Ukienda mjini leo, unaweza kuhisi ni sikukuu au mwisho wa juma (weekend), baada ya barabara kufungwa kutokana na ugeni wa marais na viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa wa Nishati unaoanza leo, Januari 27, 2025 jijini Dar es Salaam.
Ilivyozoeleka siku ya Jumatatu katikati ya...
Wanaume wapendwa,
Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua gauni, hakikisha umejinunulia suti nzuri.
Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua vipodozi, hakikisha umejinunulia manukato ya gharama unayoyapenda.
Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za vifurushi vya intaneti, hakikisha umelipia...
https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq
Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s.
Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.
Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee
Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆
Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida
Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu
Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele
Tunguli KWA ajili ya kunywea maji
Chungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.