Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea.
1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard.
Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
Remix ya wimbo wa Goodlucky Gosbert Nipe:
Hii lyrics pia ziliandikwa na chatgpt
Tupia nyimbo zako ulizounda kwa AI
Hii ni IDM but ya kiingereza lyrics zimeandikwa na chat gpt
It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa...
Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi mali za nyumbani wanaweza kurithi, sasa aanze kusikia unamuongelea baba yao sijui nani au baba yao...
Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔
Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu?
Kuna...
Mko salama wakuu?
Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra?
Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza?
Ni hatua gani za kufuata?
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune.
Wewe unayefanya biashara...
Habari wadau.
Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori.
Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia.
kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
Salaam kwa wanajamvi wote!
Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii.
1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo
2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia kutafuta au kusaidia mchakato wa kupata wafadhili au ufadhili.
3) Kukufanyia...