hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Aprtments hizi zineanza kuuzwa karibu utembelee mradi wetu

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama una tabia hizi usioe mpaka uwe umebadilika

    MWANAUME KAMA UNA TABIA | SIFA HIZI, TAFADHALI ACHANA NA MASUALA YA NDOA | KUOA HADI PALE UTAKAPOAMUA KUKUBALIANA NA HALI HALISI Ndoa si ya kila mtu Ndugu zangu, kama bado hujajiandaa kiakili, kimwili na kitabia. Ukijiona Bado Una hizi Tabia hapa Chini, Basi Usioe | Usivute Jiko 🚩 Una hasira...
  5. JamiiForums Tanzania Ukisikiliza nondo alizotoa Muhongo utagundua Tanzania ina changamoto hizi

    Usimamizi mmbaya wa rasilimali. Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani. Uongozi butu!. Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

    Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad. Mwenyezi Mungu alishatoa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi ni kampeni zisizo rasmi zinazonikera mno mtandaoni

    1. Usile wanga 2. Usioe single mother 3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji 4. Usioe asiye bikra 5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+ 6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo. ONGEZEA ZINGINE
  8. JamiiForums Tanzania Hawa mbu wa siku hizi ni Toleo Jipya au ni walewale wa zamani?

    Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis zimepatwa na nini?

    Habarini za Muda Huu Wana JF Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo .. Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
  10. O

    JamiiForums Tanzania AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Wilayani Bunda chukueni hizi dondoo

    Jana nimetumia ukurasa huu kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa operation iliyofanyika majuzi ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa wahalifu watatu waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma nyingi za uhalifu. Hao ni sehemu ndogo tu ya wahalifu ambapo kwa makisio ya haraka 90% ya vijana...
  12. JamiiForums Tanzania Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  13. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata baskeli za aina hizi kwa Tanzania Bara

    Rejea mada tajwa..! Natafuta baskeli za umeme je niwapi? Kwa Tanzania bara ambapo nitapata mwenye kujua anijuze
  14. X

    JamiiForums Tanzania Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

    Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives. Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa ndoa, kupoteza kazi, biashara kuyumba au kufirisika, ugonjwa wa kudumu, kufiwa na beloved ones n.k...
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

  16. JamiiForums Tanzania KWA PT HIZI BADO ROBO TUTAFIKA-DK MANGUNGU

    ALISIKIKA MLEVI MMOJA SHABIKI WA SIMBA RAHIM SAID AKA DK MANGUNGU KIJANA BAADA YA MECHI ALISEMA KWA UWEZA WA ALLAH TUTAFIKA ROBO TUKAULIZA YA SUKARI YA MCHELE YAKAANZA MATUSI ILA HATIMAE AKAJIBU YA CAF NIKAENDA KUJIRIDHISHA PT WALIZONAZO KWA KWELI MIUJIZA IPO NA LOLOTE LAWEZEKANA AKATUAGA...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ina watu million 70 unaajiri 7000 alafu unatamba. Hizi ni akili au?

    Mwigulu yumo humu. Kama anasoma basi niseme Mwigulu, yaani unatokaje kujisifia kuajiri walimu 7000
  19. JamiiForums Tanzania Sali hizi Zaburi kila saa tisa na dk tano kila siku mojammoja siku 5 utamwona Mungu aliehai akikipignia sema. Mahitaji yako tisa usiku

    hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo: day one no 1 1. omba Toba na Rehema juu yako familia yako ukoo wenu taja mababu na watoto wako kwa majina 2. ombea anga kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako ombea anga la wanao na la sehemu...
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…