hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Zile jezi mbovu zilizovuja kumbe ndiyo zenyewe, Sijawahi kuona jezi mbovu kama hizi

    Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema kama itakuwa ndiyo zenyewe basi avae bwana Amberruty mwenyewe, sasa imethibitika ndiyo zenyewe, Je...
  2. I

    Stop Kupoteza Pesa Hizi ni Imani 7 za Teknolojia Ambazo Zina Haribu Bajeti Yako Kilaa Wakati

    Hizi ni Myth 7 za Teknolojia Zinakupotezea Pesa Nyingii Mno Je, umewahi kuambiwa kwamba lazima ununue cable ya bei ghali ili kupata picha bora kwenye TV yako? Au kwamba kamera yenye megapixel nyingi ndiyo bora zaidi? Ukweli ni kwamba, kuna imani potofu nyingi kwenye teknolojia ambazo...
  3. Hizi baskeli za wajumbe zimenunuliwa na pesa ya nani n zanini??

    Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa now anakunywa pale Manville pub Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya...
  4. Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  5. Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
  6. WAKUU HIZI PIKIPIKI AINA BOXER ZA Bm 125 HD150 JE

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  7. Hizi ndio movie ambazo zimetazamwa zaidi Netflix. Ya kwanza ni ya Kikorea. Ngapi kati ya hizi umeshaangalia?

    Wakuu, Jana Netflix walitangaza kwamba movie au animation ya "K Pop Demon Hunters" ndio movie ambayo imeangaliwa zaidi Netflix. Hiyo filamu iliingia sokoni mwezi Juni na kufikia sasa imeshatazamwa zaidi ya mara Milioni 236 ambapo inakuwa ndio filamu (sio series) iliyotazamwa zaidi Netflix...
  8. Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  9. Naomba kujua hizi Dola 45 na Dola 90 ambazo Watanzania wanatakiwa Kulipa JNIA ni za nini na kwanini?

    Tafadhali mwenye kujua kwa Undani kabisa jambo hili si vibaya tu akatupa Ufafanuzi wa Kiuchambuzi ili Wabongo tujue.
  10. Ila Mikia wana run media watakavyo. Hizi mbinu sijui wanazitoa wapi?

    Angalia nyuzi. Ni Jersey za Simba hivi , jersey za Simba vile. Yanga tumezindua lakini nyuzi nyingi ni abt Simba. Why? Kwa nini? Nasi Yanga ndo tumekazana kuzi promote jersey za Simba. Mara zimevuja, mara zimefanyaje sijui.... Katika forum nyuzi 10 za sportz 7 ni kuhusu Simba. Iwe kwa mabaya...
  11. Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  12. Nimeanza kuwa na wasi wasi na hizi marathon za kibongo

  13. Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  14. Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  15. J

    Je, unazijua dalili za matokeo ya Novena ya Wakatoliki kwa ajili ya Haki na Amani katika Taifa letu? Asomaye na afahamu

    1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu. 2: Kutokea maamuzi ya ajabu ajabu nchini ili mradi watu wanakula mema ya nchi huku wengine wakililia haki na amani. 3: Wenye viburi...
  16. ❗️❗️Kama unamiliki hisa za Benki hakikisha uanaelewa hizi ratio mbili muhimu: CIR & NPL.❗️❗️

    🔎 Unapowekeza kwenye hisa za benki, kuna vipengele vingi vya kuzingatia. Lakini kwa mwekezaji makini, kuna ratio mbili muhimu zinazopima ubora wa biashara ya benki: 1️⃣ NPL – Non Performing Loans (Mikopo Chechefu) Hii hupima ubora wa mikopo inayotolewa na benki. Kadri kiwango kinavyokuwa chini...
  17. B

    Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  18. Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Nasikia bado zipo usukumani😂
  19. Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
  20. Njia hizi za malipo tunalipaje

    Wakuu Hapa tunafanyaje ili kulipia hapo kwa njia hizi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…