historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 ulikuwa wenye joto zaidi katika historia

    Kulingana na data kutoka Shirika ya Hali ya Hewa ya Copernicus, wastani wa joto la Dunia mwaka jana 2023 lilikuwa nyuzi 1.48 Celsius joto zaidi kuliko miaka iliyotangulia. Wataalam watahadharisha mataifa kufanya mabadiliko ya haraka kutoka kwenye nishati chafu la sivyo joto litakuwa kali zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Udanganyifu katika mitihani una historia yake

    Udanganyifu kwenye mitihani una historia yake Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu wa mitihani nchini una historia yake

    Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya taaluma mbali mbali. Ni takribani siku kumi...
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa Potofu zimekuwepo kwenye Historia ya Binadamu kabla hata ya kugunduliwa kwa Mitandao ya Kijamii

    Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii. Hapo...
  5. JamiiForums Tanzania Katika historia ya AFCON

    Mahmoud El-Gohary na Stephen Keshi ndio watu pekee ambao waliwahi kutwaa ubingwa wa AFCON wakiwa kama Wachezaji, pia kwakuwa kama Makocha. Mahmoud El-Gohary yeye alitwaa ubingwa kama mchezaji mwaka 1959, pia akatwaa kama kocha mwaka 1998, Mara zote mbili akiwa na timu ya taifa ya Misri...
  6. JamiiForums Tanzania Wanahabari wanaposhangazwa na Historia iliyopo katika Maktaba

    Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu. Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

    Here it is, kwanza 1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26 2. Anatafutwa as an international fugitive. 3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya ubakaji. Why?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Imani na historia potofu ilijengwa na wanazuoni wa Kiislamu juu ya Israel na Yerusalem chanzo cha vita ya sasa na baadaye

    https://youtu.be/4s9CaV03Uxs?si=TJFYLpOXfSocb_2W Ukisikiliza mafundisho ya huyu msomi mwanazuoni wa kislamu utapata ukweli na uongo juu ya taifa la Israel na ,Yerusalem ,ukristo na uislam.chanzo kikuu Cha vita ya Sasa na ya baadaye. Mfano wa uongo ni :Tangia lini Musa na wafuasi wake wakawa...
  9. JamiiForums Tanzania Barabara za mitaa zimepewa majina yasiyo endana na historia

    Habari za mchana JF members Mm ni mkazi wa Dar es Salaam sehemu ninayoishi barabara zake za mtaa zimepewa majina yasiyo endana na historia ya maeneo hayo. Majina hayo yaliwekwa pasina kuwashirikiasha wananchi, mfano kuna barabara ya mikumi,Samia,magufuli,chato n.k Ila kwa mtazamo wangu naona...
  10. JamiiForums Tanzania Ng'wanamalundi: Shujaa wa Kisukuma aliyewatesa Wajerumani

    Historia ya Ng'wanamalundi Hebu leo mjue vizuri huyu mtu wa miujiza aitwae Ng'wanamalundi shujaa wa Kisukuma aliyewatesa Wajerumani. Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za makabila, hasa ya Wasukuma na Wanyamwezi, hawakukosa kusikia habari ya Ng’wanamalundi. Mtu huyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hata Wapalestina wenyewe wameshinda kuelezea Historia yao halisi

    Kutoka Tovuti Rasmi ya Mamlaka ya Palestina, Nchi takatifu imeeanza kukaliwa tangu miaka 6000 iliyopita lakini cha ajabu wameshindwa kusema wao wanaundugu na watu gani wa enzi hizo https://travelpalestine.files.wordpress.com/2014/11/motaguide.pdf
  12. JamiiForums Tanzania Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

    Merry Christmas wakristo wote. Ni furaha iliyoje kwa wa-ukraine kusherekea sikukuu ya krismas tofauti na utaratibu wa awali waliokuwa wanatumia kutoka kanisa la Orthodox huko Russia yaani tarehe 07/01 kila mwaka. Many Ukrainian Orthodox Christians are celebrating Christmas on 25 December for...
  13. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya Bakwata Oktoba hadi Desemba 1968 (Sehemu ya 4)

    Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU. Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa. BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa...
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya tatu

    Hadi kufikia juma la kwanza la mwezi wa Desemba, mikoa mitatu kati ya kumi na saba ilikuwa tayari imeshajitenga kutoka EAMWS. Kile kikundi cha Adam Nasibu kikaunda kamati kwa ushirikiano na Kamati ya Maulidi ya Dar es Salaam, Adam Nasib akiwa Katibu. Kamati hii ikaitisha mkutano Ukumbi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya pili

    Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’ Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa ambayo tayari ilikuwa imekwishajitenga na EAMWS. Mkutano huu ulifanyika katika shule ya Kiislam ya...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

    TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA "... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo. Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru. Ieleweke hapa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuelekea sikukuu ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Mshume Kiyate na Ali Msham

    Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere. Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha...
  18. JamiiForums Tanzania Katika historia hakujawahi kuwa na himaya, falme wala tawala ya Palestina, hata taifa la Palestina la sasa ni kwa huruma ya Israel

    1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Bibi Titi na Historia ya Mnazi Mmoja 1950s

    BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union. Walikusanyika hapo wakitokea kwenye ofisi ya chama chao iliyokuwa katikati ya uwanja wa wazi nyuma ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Historia ya Marehemu Bibi Titi Mohammed, Baba yake bibi titi alikataa mwanae asisome shule maana atakuwa kafiri. Nyerere alikosa waislamu wasomi wengi

    habari wadau. naonaga lawama nyingi za waislamu wakimlaumu Rais wa awamu ya kwanza Nyerere aliwabania kuwapa madaraka na fursa nzuri serikalini baada ya uhuru. Mzee wetu kipenzi Mohamed Said huwa analiongelea swala hili la nyerere na waislamu mara kwa mara. nimeshangaa kukuta maneno ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…