historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Hans Poppe na wenzake walitaka kumpindua Mwl. Nyerere? (SEHEMU YA 1️⃣)

    HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Historia ya Otabenga

    Anaejua historia kamili ya Otabenga atiririke hapa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Historia fupi ya Edward Moringe Sokoine

    Mfahamu Sokoine Moringe Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984). Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka Monduli, Tanzania. Alijiunga na Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) mwaka 1961...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iwape DAWASCO uwezo wafunge mtambo hapo JNHEP na mafuriko yatakuwa historia

    Serikali badala ya kupoteza maji kufungulia na hatimaye kuharibu mashmba na miji huko Rufiji basi wangewapa Dawasco hiyo kazi wafunge mtambo wa maji kuleta Dar huku maji ya ziada tunafyonza tunatumia Dar huku! Hii akili mpaka tuwaambie sisi wanaJF? au mmerogwa jamani?
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1950s

    Historia Mzee Mshume Kiyate na Mwalimu Julius Nyerere 1950s https://youtu.be/YgT0LS-qGUg
  6. F

    JamiiForums Tanzania Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu Wawili Katika Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika: Steven Mhando na Peter Mhando

    NDUGU WAWILI KATIKA HISTORIA YA TANU: STEVEN MHANDO NA PETER MHANDO Imenichukua muda mrefu sana kuitafuta na kupata picha ya Steven Mhando na mdogo wake Peter. Niliipata picha ya Peter Mhando na baadae picha ya Steven Mhando kaka yake. Hawa ndugu wawili ni kati ya wazalendo waliounda TANU na...
  8. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kusoma historia ndiyo mkombozi pekee wa akili zetu kama tutakuwa wenye kuhitaji mabadiliko ya kweli

    History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti kina walter Rodney,smith na wengineo. Historia ipo kwa lengo la kuonesha GAP au MAPUNGUFU ili watu...
  9. JamiiForums Tanzania Kauliza muulizaji kwanini majina ya Waasisi wa African Association hayapo katika historia ya TANU

    KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’ Kijana alichonitafutia ni historia ya Muungano wa Tanzania mwaka wa 1964. Akanifahamisha kuwa amesoma kitabu cha historia ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mzee Mshume Kiyate akimvisha Mwalimu Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya 1964 Aliyemshika Nyerere mkono kulia ni Mshume Kiyate, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi Uchaguzi wa Rais 1962. https://youtu.be/SiZ7ibE5mPc
  11. JamiiForums Tanzania Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Jeshi la Urusi linajiandaa kufanyq shambulio kubwa katika historia toka SMO ianze 🚨🚨🚨FLASH FLASH FLASH: Russia Prepares To Launch Revenge Attack on Ukraine!!! Largest military strike in recent history about to happen!! - 14x Tu-95MS, nuclear capable bombers (Angel of...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya mtende, umaarufu wa matawi 🌴🌴

    Mitende ni miti mikubwa ya jenasi Phoenix katika familia Arecaceae. Matunda huitwa matende. Mitende ni maarufu katika utamaduni wa Waisraeli na Waarabu. Yoh. 12:12-19 inataja matawi ya miti hiyo kwamba yalitumika kumshangilia Yesu alipoingia Yerusalemu kwa mara ya mwisho. Ndiyo sababu hadi leo...
  13. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube. Na pia anaingia kwenye orodha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo historia Watanzania wengi tunahitaji kuijua, Ili tujue maisha ya nyuma yanaugumu kiasi gani.

    Fikiria au imagine kwa dakika moja tu, kwamba ulizaliwa mwaka 1990, Ulipofika miaka 14, ikatokea vita ya kwanza ya dunia, ambayo iliisha ukiwa na miaka 18, na watu zaidi ya vifo milioni 22 vilitokea. Ukiwa na miaka 22, ugonjwa wa spanish flu global pandemic ukaua zaidi ya watu milioni 50...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jacob Rombo ni nani? Historia yake kabla ya kuteuliwa kuwa DAS alikuwa anafanya nini?

    Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu. Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa. Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
  17. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa historia ya Mgombea wakati wa Uchaguzi na mbinu za kuepuka kupotoshwa

    Wakati wa uchaguzi, baadhi ya watu hutengeneza taarifa za uongo au kuficha ukweli kuhusu historia ya mgombea fulani ili kuathiri taswira yake kwa umma. Taarifa hizo zinaweza kuwa mwaka wa kuzaliwa, historia ya uraia wake, au elimu yake. Mathalani, mtu au kundi la watu linaweza kusambaza taarifa...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Qur'an

    HISTORIA YA QUR'AN. SEHEMU YA KWANZA 01. Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabaarakatuh, Kila Sifa njema anastahiri Mwenyezi Mungu Mola mlezi wa Walimwengu wote, na Sifa njema zimuendee Kipenzi chetu Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم na Radhi za Allah ziwashukie Maswahaba zake na wema...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ya Y2K na Msisimko wa Mwisho wa Dunia wa Mwaka 2000

    Wakati umefika mwaka 1999, Wanasayansi wakaibuka na kudai kwamba mwaka 2000 ungekuwa mwisho wa dunia. Baadhi ya wachungaji wakaungana na wanasayansi hao na kuendelea kusema kwamba mwaka huo Yesu angerudi kwa mara ya pili. Dunia nzima ilikuwa na wasiwasi, kila mmoja aliona kabisa alikuwa akienda...
  20. JamiiForums Tanzania Leo katika historia kutoka Kwa Tundu Antipas Lisu dhidi ya "Dikteta Uchwara"

    Strong leader. Ujumbe wa Lissu: Wandugu wapendwa. Ninaandika haya nikiwa nyumbani kwangu Dodoma. Najiandaa kwenda mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa Mahakama Kuu juu ya kesi ya kutaka kuzuia Uchaguzi wa TLS. Ninawapa taarifa kwamba nimefuatwa nyumbani na askari wawili kutoka ofisi ya RPC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…