Tujitahidi kusoma historia ndiyo mkombozi pekee wa akili zetu kama tutakuwa wenye kuhitaji mabadiliko ya kweli

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,552
2,989
History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti kina walter Rodney,smith na wengineo.

Historia ipo kwa lengo la kuonesha GAP au MAPUNGUFU ili watu timamu waweze kuyafanyia kazi,bahati mbaya sana nchi za kiafrika bado hazijaweza kutendea haki historia kwani licha ya kuwa chini ya hawa wazungu ila bado wamejiendeleza kuwa chini na kuwa washirika wao,historia inatuonesha kuwa kuna vipindi uchumi unayumba kutokana na mtu mmoja anapolishikiria soko na hata kukiwa na idadi kubwa ya uwekezaji wa nje chumi inaweza kukolapse.

Historia inatuonesha ni njia gani wenzetu walitumia kujikwamua kutoka kwenye uchumi hafifu na kufika kwenye chumi endelevu ila kwa bahati mbaya zaidi vyote hatuvitilii kichwani,historia ni njia ya mabadiliko sisi kila siku tunakumbuka mambo ya uhuru na mawazo ya mwalimu nyerere lakini hatuwazi ni jinsi gani tunaweza kutumia madhaifu na faida zake kwenye utendaji kazi wake.

Kama hatujaitendea kazi historia vyote tutakavyovifanya ni rubbish because they are not giving us proper way of moving instea of pulling back,Kama madini tunayo,soko lipo,rasilimali zengine zipo why tusibadilishe sheria na taratibu zetu?.then tujipatia mission and vision with strategic plans for the counting period of time incase we fail tunakaa chini kuona tunafanyaje ila sisi kila siku siasa na propaganda.

hatufiki
 
Back
Top Bottom