historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya binti wa Kigiriki "MEDUSA"

    Medusa ni mojawapo ya wahusika maarufu katika mitholojia ya Kigiriki, ambaye alikuwa mwanamke mwenye nyoka kwenye nywele badala ya nywele za kawaida. Kulingana na hadithi, yeyote aliyemtazama Medusa machoni alikuwa akigeuzwa kuwa jiwe. Medusa alikuwa mmoja wa dada watatu waliitwa Gorgons...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe huyu Kiwi historia yake ni toka mwaka 1886 mpaka leo Brand yake haijashuka

    Wakuu za muda huu; Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini. Picha hapo chini zinajieleza. NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
  3. JamiiForums Tanzania Historia ya msanii Bab Lee

    HISTORIA FUPI YA MSANII BAB LEE KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI WA BONGO FLEVA.. "Bab lee jina langu halisi naitwa "Ally Omary " kiukweli mimi kwenye mambo ya muzuki nimeanza toka mwaka 2000 kwahiyo mpaka sasa nina Takribani miaka 24 katika game hii ya Bongo fleva. Tangu nilipoanza Muziki...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenu Wajuvi na wapekuzi wa Historia. Naomba majibu ya maswali haya

    Credit kwa Jewel Fitila, Mmiliki wa andiko. UKWELI KUHUSU UISLAMU: 1. Je, Qur'ani inafafanua neno "Allah"? 2. Je, jina "Allah" liliteremshwa kwa mara ya kwanza kwenye Qur'an? 3. Je, Qur'ani inadhani kwamba wasomaji wake wamekwisha sikia habari za "Allah"? Ndiyo. 4. Je, tuangalie katika...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya gari aina ya Hummer

    Hummer ni chapa ya magari ambayo ina asili katika magari ya kijeshi ya Marekani yanayojulikana kama Humvee (High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle). Historia ya Hummer ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1980 wakati kampuni ya AM General, ambayo ni tawi la American Motors Corporation (AMC)...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya kitabu cha kutoka/exodus movement of Jah people cha dini ya rastafari

    "Exodus" ni dhana muhimu sana katika dini ya Rastafari, na pia inahusiana sana na muziki wa reggae, hasa kupitia wimbo maarufu wa Bob Marley, "Exodus" uliotolewa mwaka 1977. Ingawa wimbo huo wa Marley unahusu zaidi harakati za kisiasa na kiroho za watu wa Kiafrika, dhana ya "Exodus" inarudi...
  7. I

    JamiiForums Tanzania HISTORIA YA DINI YA KIRASTAFARI

    Dini ya Rastafari ni harakati ya kiroho na kitamaduni iliyoanza nchini Jamaica katika miaka ya 1930. Harakati hii iliibuka kutokana na mafundisho ya Marcus Garvey, kiongozi wa harakati za Waafrika na mtu aliyesisitiza juu ya fahari ya utambulisho wa Kiafrika na kurudi Afrika kwa watu wenye asili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Brig.Gen.Simba Waziri Simba, Shujaa wa kikosi vita vya Kagera, Mtoto wa Kariakoo

    Huyu ni mmoja wa wakuu wa vikosi vilivyopigana vita vya Kagera. Kwa miaka mingi walikuwa wakitaka wakuu wa brigedi zilizopigana vita vya Kagera, lakini ndani ya brigedi hizo kulikuwa na vikosi. Simba Waziri Simba mmoja wapo wa makamanda wa vikosi katika vita hivyo...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya jeshi la wananchi la Tanzania

    Historia ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi tarehe 1 Septemba 1964, baada ya kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika Rifles (TR) na vikosi vingine vya kijeshi. Hii ilifuatia uhuru wa Tanganyika kutoka kwa utawala wa Uingereza mnamo 1961...
  10. JamiiForums Tanzania Historia: Ukaguzi wa wafanyakazi katika mgodi wa Mwadui

    Mgodi wa Mwadui 🧐 Williams Diamond Limited (WDL) Wafanyakazi wa sorting(wanaochambua madini) wakimaliza kazi walikuwa wakikaguliwa bila nguo 😢 Shinyanga tumetoka mbali sana😢 Yaliyopita yanasikitisha mno🙌 Shinyanga 🇹🇿
  11. P

    JamiiForums Tanzania Historia ni mwalimu mzuri, mtandao umeshaanza kusumbua na sisi tujiweke tayari, hakikisha simu yako haikosi VPN!

    Wakuu salam kwenu, Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa. Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa 2020 jinsi mtandao ulivyochezewa na 'jini' ikawa changamoto kupata taarifa na wale ambao biashara zao...
  12. JamiiForums Tanzania Simba Tundu Lissu: Historia Yake na Je, Unaweza Kumuona Wapi Live Baada ya Kizimkazi?

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mwasonga, Kigamboni. Alizaliwa Januari Mosi, 2018, hivyo kwa sasa ana...
  13. U

    JamiiForums Tanzania IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel yafanya kufuru Leo asubuhi Iko hivi Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia...
  14. JamiiForums Tanzania Sanda ya Kristo: Wanasayansi wathibitisha "usahihi wa historia yake"

    Na Jeremy Howell BBC Timu ya wanasayansi wa Italia walisema waliweza kwa usahihi kuitambua tarehe ya Sanda ya Turin, na kwamba inaonyesha kuwa ilikuwa ni ya wakati wa Kristo. Utafiti huu, uliochapishwa hapo awali mnamo 2022, unapinga mtazamo kwamba mabaki ya Sanda hiyo ni "bandia" na inaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na historia ya Mongolia na China

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol kuwatawala wachina na baadae wao kutawaliwa mpaka leo. Pale ambapo jamii moja ya watu hufurahia kuwatawala jamii nyingine ya watu kikoloni katika eneo lao kwa tafsiri ya Muungano jamii tawaliwa pale itakapo twaa madaraka maumivu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nyimbo ''Madhulumu Moyo'' na Historia ya Kwa Bamkwe 1972

    NYIMBO MOYO MADHULUMU NA HISTORIA YA KWA BAMKWE Siku ya kwanza alipouimba mwimbo huu "Moyo Madhulumu," hadharani marehemu Khadija Baramia hakuweza kumaliza katikati alianza kulia na hakuweza kunyamaza. Wasikilizaji wanawake nao wakalia. Ikhwan Safaa wapigaji orchestra iliendelea kupiga ala kwa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Angalia historia ya mahala umapotaka kuunganisha familia (kuoa)

    Nimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia.. 1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia hali ya ndoa kwenye familia nzima ikoje ( kama hali ya afya ya ndoa mbovu kuanzia wazazi, na nduguze...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kurudia historia ya mwaka 1998 ya kufuzu hatua ya makundi kwa kuwatoa Wahabeshi

    Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998. Katika mechi ya round ya kwanza mjini Addis Ababa, Yanga na Coffee FC walitoka sare ya mabao 2 kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Kituo cha kupozea umeme GGM ni kielelezo cha Historia kwenye Sekta ya Umeme Nchini

  20. JamiiForums Tanzania Historia ya Bangladesh chini ya watawala wanawake wawili marafiki waliogeuka mahasimu

    Kwa miaka 33, tangu mwaka 1991 taifa la Bangladesh limetawaliwa na wanawake wawili mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti kwa kila mmoja wakipokezana miaka mitano mitano. Aliyeanza kutawala alikuwa Khaleda Zia kisha akaja Sheikh Hasina halafu akarudia Zia tena ndipo akarudi Hasina tena kuanzia mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…