hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  2. Wajuvi wa maswala ya barabara karibu hapa mnisaidiye.hata kama wewe si mjuvi tupe hisia zako.

    Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia...
  3. L

    Mwizi analalamika baada ya kuibiwa: mnachochea hisia ya utaifa!

    “Ndugu yangu, nimekuwa nikizurura nje kwa muda mrefu...mnaweza kunipeleka nyumbani kwetu China?” Siku hizi, tamthilia fupi ya “Kutoroka kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza” iliyotengenezwa na mwanablogu wa China iliibua mjadala mkali ndani na nje ya nchi. Tamthilia hiyo inaelezea jinsi...
  4. B

    Watu na hisia

    Kila mwanadamu anaongozwa na hisia na akili katika kuendesha maisha yake hapa duniani. Wanyama pia huongozwa na hisia katika harakati za kujitafutia mawindo au kumkimbia adui yao (predators). Kabla ya jambo lolote kufanyika, hisia kupitia viungo vya fahamu (sensory organs) kama vile macho...
  5. S

    Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

    Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake. Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni...
  6. Napata hisia tayari simu imeshapigwa kwa Waheshimiwa maJaji

    Heshima sana wanajamvi. Rostam Aziz majuzi alitufungua kwamba Mahakimu,Majaji wetu unaweza kuwapigia simu wakatoa uhamuzi usio wa haki. Ni kweli Rostam aliomba msamahaa lakini pamoja na kuomba msamaha hakuondoi hali halisi kwamba mahakama zetu zimekuwa zikitoa uamuzi wa hovyo hovyo. Wakati...
  7. Kwa hisia kubwa, kwa uzoefu wako, eleza chanzo na suluhisho cha tatizo hili

    NB: Mzaha uwe kando, chukulia ndo madogo zako
  8. Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume

    Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa 𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢; Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu...
  9. Wakataa KUOA wengi ni wale ambao tuliumizwa na wapenzi tuliowapa hisia na tumaini la kudumu katika kweli. Hii imekuwa chachu ya fikra hasi kuhusu KUOA

    Hello family, Mods please tupeni fursa tuseme kweli, kweli inaponya. Let speak the truth, the truth be told. Hakika nasema katika kweli hasira na chuki hasa katika mawanda ya ndoa si bure kuna chanzo, wengi wa wanaokataa ndoa na kuoa ni wahanga wa kuumizwa kihisia na kuharibiwa malengo hasa...
  10. Jamani nisaidieni real story imenikuta leo hii sasa hisia zitaushinda mwili, maamuzi yatakua magumu mno

    Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa mwanzo niliutumikia fresh japo tupo mbali me nipo dar ye yupo msoma, shida ni kwamba kuna mda life...
  11. Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

    Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena. Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe. Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua. Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha. Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye...
  12. Tabia Zinazomfanya Mwanamke Awe Na Hisia Nawe Zaidi, Akupende Na Mdumu

    Jana tuliona tabia zinazomfanya asiwe na hisia nawe. Leo tuangalie tabia zenye matokeo mazuri. Ukifanya haya ni rahisi kudumisha upendo katika mahusiano. Kuna maana nyingi za upendo kwenye mahusiano. Lakini maana kubwa ni pale mnapofurahi pamoja (mkiwa pamoja sio kwenye simu) na mkafanya...
  13. Tabia Hizi Zinamfanya Mwanamke Asiwe Na Hisia Na Wewe, Na Akukatae

    Tabia hizi hazina matokeo mazuri, yale unayotarajia upate. Utahisi ukifanya hivyo itakusaidia kumpata mwanamke. Lakini zina matokeo ya tofauti. Zinamfanya asikupende zaidi. Kwa upande wako utaona kuwa mwanamke hana mpango nawe. Au kila ukianzisha mazungumzo ya mapenzi ye anakwepa. Au utaona...
  14. My confession

    There's this girl, she's not my girlfriend but she holds a special place in my heart. It's both thrilling and terrifying to admit that she has captured my thoughts and emotions in a way no one else has before. Her radiant smile illuminated every room she entered, and her laughter was like music...
  15. WATOTO WASIOZALIWA: Ujumbe wa Mawazo na Hisia

    WATOTO WASIOZALIWA 1. LETTER TO MY UNBORN CHILD - 2 PAC Pac anamwandikia barua mtoto wake ambaye bado yupo tumboni mwa mama yake na KUMWAMBIA UKWELI kuhusu dunia hii. Mistari ambayo inanigusa zaidi humu ni hii ifuatayo; "MY ONLY FRIEND IS MY MISERY." 00:48 (Rafiki yangu wa pekee ni mabalaa...
  16. Kikao cha takwimu sio hisia

    KIKAO CHA TAKWIMU NA SIO HISIA, UKISHINDWA IN SHAA ALLAH. CLATOUS CHAMA ni Mchezaji wa mechi ndogo mmesema sio?? Tukiomba takwimu za CAF kwenye klabu bingwa msimu huu namwona ana mabao manne kwenye orodha ya wafungaji akiwa nafasi ya pili nyuma ya Washambuliaji kama Peter Shalulile wa...
  17. R

    Hisia na tumbo vinapoitawala akili ni hatari sana kwa Taifa

    Habari wana JF Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri. 1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna baadhi hawataki kabisa kuona au kusikia mama Samia anafanikiwa na wengine wanapenda tu kusikia mabaya...
  18. Tambua Kuwa Mwanamke Anapenda Umpe Hisia Tofauti Tofauti.

    Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe. Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’. Hata kama unaona itamfanya ajisikie vibaya. Ni heri ajisikie vibaya kuliko kutaka kumfurahisha muda wote/...
  19. S

    Hisia: Wydad 4, Simba 2

    Huu sio utabiri bali ni hisia zilizonitokea dakika kama moja iliyopita Matuta yanaweza kuhusika. Tusubiri, dakika 90 ndio msema kweli.
  20. Wataalam wa hisia DSE

    Wasalam, Naomba kujua ni hisa gani zinafanya vizuri Dse kwa sasa? Nataka nijitoe muhanga kununua hisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…