hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Anaelia asifanyiwe harrasment ni huyo bado anavaa vinguo vya utupu. Anaemsaidia kampen hii anatumia waliovaa nusu uchi ktk promotion zake binafsi.

    Ubinadamu ni kazi mno na unafiki ndio nguo zake.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inaamuliwaje hapa?

    Hii ni jana hawa waheshimiwa wakipita barabara ya mwendokasi Mtongani na hiki ni kituo cha Msikitini bondeni.
  5. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya ajabu ama imekuwaje?

    Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025. Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kupitia video hii ni kweli viongozi wanahusika kwenye kusafirisha madawa ya kulevya alafu wanouwawa ni vijana

    Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam, Baada ya kukamatwa wao wakazima simu , https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
  7. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wazoefu wa ujenzi naombeni makadirio
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais kupeleka wajumbe maalum ili kuipongeza Serikali ya Angola ina maana gani?

    Au basi
  9. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ibada iliyo njema yenye kumpendeza Mungu.

    Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma. Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili. Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana...
  10. Mchunguzi Fukara

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa hili jukwaa limenifanya leo hii naanza kuheshimika kwa watu wangu wa karibu

    Kwanza natanguliza shukurani za dhati kwa hili JUKWAA la tenda na ajira na members na dhumuni langu kuhusu huu uzi nikutoa shukurani Nilijiunga na jukwaa hili mwaka 2021 baada ya kuona baadhi ya post za jamii forum katika mitandao ya kijamii pamoja na heka heka za mmiliki wa hii forum katika...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mwezi huu wanatumiana jumbe za simu za namna hii

    MASIHARA! Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo. Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote". Mwanamke:👁️‍🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili...
  12. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
  15. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa hii platform JF mkuje na shout out kwenu

    Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
  16. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

    Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam. Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Toyota corola Axio ya 2009 imekaa mwake sana

    Toyota corola Axio Ina Nice design kwa kweli Sio vibaya watalaam watupatie moja mbili tatu zaidi kuhusu gari hili
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

    Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana. Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia. Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Masters and PhD holders, mpoo? Karibuni tujadili mada hii

    The Responsibility of Open Discourse The tagline of our Jamiiforums declares, "Where We Dare to Talk Openly." Yet, does unfettered expression justify indiscriminate speech? Intellectual freedom, when devoid of restraint and wisdom, risks devolving into chaos, undermining the integrity of...
  20. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Mzazi akigoma kumpeleka mtoto sekondari mnamchukulia hatua. Huyo mtoto akimaliza degree hamumuajiri. Leo hii mnawaambia warudi kusoma VETA!!!

    Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu. Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea. Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
Back
Top Bottom