hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jenzii watadhania hii ni dildo😅

  2. JamiiForums Tanzania Video: Wakaka wa jf kutuma na yakutolea mmeshindwa mnajifanya wanaume haya hii challenge ya kiume mnaiweza

    Wanaume wa jf mmejaa majigambo tele haya mnameza kumjibu huyu mwenzenu kwa challenge hii: (kwa mtazamo wangu huyu ndio mwanaume huyu hashindwi kunibeba) https://vt.tiktok.com/ZSXrCKy7k/
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

    Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100...
  4. JamiiForums Tanzania Rwanda ni nchii ndogo ila kwa tanzania mnapoelekea kuwa na kila kitu hii CCM inaenda kuifanya kuwa Zimbabwe

    Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani. Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Top 20 ya muda wote ya nyimbo kali za kiafrika hii hapa.

    Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi. 1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj 2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=8VWknq5qmu21oswg 3. Umqombothi - Yvone Chakachaka...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

    Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu. Ila...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye hii Dunia usipojua unachokitaka lazima uwe malaya

    Hii Dunia ukiwa haujui unachokitaka hata kwenye mahusiano utahamahama sana lazima uwe malaya , maana wanaume matajiri hawaishi yupo tu atakayemzidi uliyenaye , wanawake wazuri hawaishi yupo mzuri kuliko uliyenaye.
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena, Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  10. JamiiForums Tanzania Hii imetokea wapi?

    Aise watu wanajiamini. Pesa kweli inajeuri ingawa hatufahamu kafanyiwa nini mpaka akawa na hasira kiasi hiki.
  11. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Show ya Miaka 30 ya Bongo Fleva. Je, Lugumi kafadhili hii Show?

    Katika pitapita zangu leo mtaani, nimekuta watu wakibishana kwamba miaka 30 ya Bongo Fleva pale Mlimani City , Ndugu Yetu Bilionea Lugumi kafadhili hii Show. Je, ni kweli???
  14. JamiiForums Tanzania Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

    Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea. Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani na msumari wa nchi 6. (Misumari tulikuwa tunatumia kucheza mchezo unaitwa domeka) Mnachora jedwali...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi hii nyimbo ya Oya Mr. Dj Nipoze Moyo Dj naisikia sikia inapigwa sana muda huu kaimba nani?

    Anasema, Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua Haki ya Mungu lile likenge lingeniua Si angesema ka -anauza ningenunua Oya Mr. Dj Nipoze moyo Dj Ongeza sauti Dj Nitakutunza Dj Hii nyimbo kaimba nani wakuu? maana naisikia kwa mbali kweli Naomba kufahamu jina...
  16. JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  17. JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final. Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France...
  18. JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke/mwanaume Je una juzi wowote na huna mchongo wowote jaribu hii

    Wakuu Kuna app imeanzishwa tz ambayo ipo playstore na app store inaitwa tapchap hapa wanakutana kati ya mtoa huduma na muhitaji huduma, Mfano mtu anataka mtu wa kumfanyia usafi,fundi n.k wanakutanishwa na app na kuelewana na muhusika kwenda kufanya kazi husika BECOME A SERVICE PROVIDER ON...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…