hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  2. Sasa hivi sitalilia tena mapenzi na hii ndio sababu!

    Nimekaa nikatafakari nimegundua mapenzi ni utapeli tu!, Haiwezekani ati mtu kwa kukubusu tu useme hayo ndio mapenzi!, yani mtu anatumia kiungo chake cha kusagia chakula (mdomo) kukuonyesha mapenzi!, How come..? Ama mtu anakuonyesha mapenzi kwa kukupa kiungo chake cha uzazi yani uzazi ndio...
  3. Hii misumari ya Iran ni balaa

    Video hapo chini
  4. Ukitizama hii picha, Kisha kuna Mbunge anaona hitaji kubwa ni Number Plate Maalum kwa ajili yao

    Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
  5. Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
  6. J

    Hii Dunia inapoelekea sio shoga kanicheki Facebook messenger anataka kuniblesss

    Wakuu inakuaje apo Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara...
  7. Unatabiri nini mwisho wa vita hii Iran vs Israel

    Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran. Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia...
  8. SI KWELI PreGE2025 Sugu amelalamikia kutengwa na kamati kuu ya CHADEMA

    kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
  9. Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

    Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
  10. Hivi Dudu baya ndio nani kila jambo kuhusu dunia hii yeye kawa mchambuzi na kuna watu wanamsikiliza kweli

    Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji. Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa. Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
  11. Barua Wazi ya Mwanafunzi kwa Walimu Wake Wawili. 1 ni kwa Dean wake, na 2. TA wa Kipindi chake c Kwanza. Please Watendeni Watanzania Haki Hii!.

    Wanabodi N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events! 1. Utangulizi Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
  12. Kwa nini hii Israel ya Sasa inaonekana kufanikiwa kuliko Israel za zamani ambazo hazikuwa na ukaribu na wazungu isipokuwa Mungu tu?

    Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu. Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za kufeli kwao ilikuwa ni umbali wao na Mungu wao. Mfano Waliteswa na Wafilisti Walikuwa watumwa wa Wairaq...
  13. M

    Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  14. Wapi naweza kupata office space km hii

    Habari wana JF Moja kwa moja kwenye mada. nimechoka kufanyia kazi nyumbani mimi ni frelancer nahitaji office space ukubwa km huu kwenye hii video maana wateja wangu wengi ni wa online. naomba km kuna mtu anaweza kuniunganisha na dalali au muhusika anaeweza kunisaidi. najua JF humu wadau wapo...
  15. Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  16. Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  17. Kwa hii barabara bado tunaweza sema tuna serikali ya watu wenye akili?

    Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu. Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
  18. Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

    No reforms no election. Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
  19. Hii shida ya WhatsApp status kujimix ni kote au?

    Wakuu natumia Ios, ila kuna kitu strange huwa kinatokea nikiwa na naview status za watu. Kinachotokea ni kwamba mtu A akiweka status basi inaweza appear kwa watu wengine pia, nao wanaonekana wamepost status hiyo hiyo! Nimejaribu kuupdate whatsapp ila shida iko pale pale, sasa swali langu ni...
  20. Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…