hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hii ni CCM tunayoijua kweli?

    Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita kumzungumzia mtoa hoja Kwa Gwajima vile vile alitoa hoja kuhusu utekwaji wa watu, watu wanapotea lkn...
  2. Mzee wa Nature Mshana jr hii ni nini na inapatikana wapi?

    Nimeitoa fb huko kwakweli sijaelewa kama ni uyoga au sijui nn😂😂 Mshana Jr
  3. S

    Hii namba *152*00# ya NSSF haileti menu kama inavyotarajiwa

    Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye kuingiza namba yako ya uanachama huwezi kuendelea zaidi ya hapo. Itakuambia ujumbe wako umetumwa...
  4. Ofisi za namna hii zibadilike

    Huwa wanajiona sijui akina nani? Wanajikuta wako busy, ni kupishana tu mbele yako.
  5. Unafuga kuku? Basi hii ni kwa ajili yako!

    Badilisha kutoka kwenye daftari na kalamu sasa unaweza: ✅ Kurekodi gharama zote za mradi ✅ Kupata ratiba ya kulisha kuku kulingana na umri na idadi ✅ Kukumbushwa siku za chanjo Usibaki nyuma kwenye teknolojia. Pakua Fuga App sasa kwenye Playstore na uanze kufuga Kijanja Zaidi!!!
  6. Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  7. Hii ndoto ni ya ajabu mno naombeni maana yake

    Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
  8. V

    Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

    Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
  9. Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  10. Siri ya mafanikio hii hapa

    Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote. (Picha kutoka mtandaoni Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe ni nani! Ngumi zinaanza bahati mbaya unapigwa konde moja la uso🥺 Unajijuta umehamaki hasira, jazba na...
  11. Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

    Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF. Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
  12. Wakuu hii gari inatoboa au editing za vijana

    Nimeikota hii post huko mitandaoni
  13. Kwa ambao hawakufanikiwa kuiona interview ya Dogo pattern ni hii hapa

    Hii nimeileta kwa sababu nilikuwa na kiu ya kuona nini kilitokea hadi tunaambiwa Dogo pattern kavirugana na watangazaji. Pia ninaamini kuna watu wanakiu ya kuona ilivyotokea hata kwa uchache. https://www.facebook.com/share/r/16ooKMPNe5/
  14. Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

    Oktober imesimama! Oktoba ya Mama! Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini...
  15. T

    Alianza Ndugai badae Dr slaa akafuata Lisu mara Gwajima kisha Mpina na sasa pole pole kwenye zile 4r hii ni style iko 4 ya ngapi!?

    Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta. Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama. Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia. Jazba mihemko...
  16. CCM ikifa, tutazika au tutasafirisha?? Kila baada ya miaka 10 CCM hujihuisha kwa kupata dam mpya kwenye circulation ila miaka hii 10 ya sasa vipi?

    Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha. Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
  17. B

    CV ya elimu ya Polepole hii hapa chini.

  18. Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  19. Don't Look Up; Umeangalia hii movie?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…