King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Jamani msituchoke sisi ambao tupo kwenye ndoa pale tunapokuwa tunatoa malalamiko yetu kwenye mitandao ya kijamii
Wengine ndo njia yetu ya kuondoa stress any way jana usiku nilinyimwa tendo la ndoa na mke wangu naumia sana
Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts.
Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka.
Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama.
Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila...
Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli?
Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!?
Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi?
Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa!!!
https://x.com/Globalstats11/status/2030202522074497522?s=20
Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi.
Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that...
Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
"Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga.
Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza.
Makamanda wenu wamewauza.
Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi"
Castle_Lite
mcTobby
Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa.
Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka.
Kuna nini kinaendelea hadi...
Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?.
NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
"Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili...
Kwa ule uchafu wa Epstein's file bado kuna mjinga anaamini Waisrael ndo taifa teule?
Jeffrey Epstein ni mteule?
Trump ni mteule?
Netanyahu ni mteule?
Cha kufurahisha hizo files hakuna Kiongozi wa Iran hata mmoja, hayupo Saddam wala Gadafi, Wala Putin Wala Xi jinping, wala Maduro wala Fidel...
Nitaongea ukweli bila kupaka sukari.
Mwaka 2026 mteja hakutafuti kwa kuuliza kwa jirani.
Anachofanya ni kuandika Google:
“Hospitali nzuri karibu nami”
“Car dealer Dar es Salaam”
“Law firm Tanzania”
“Hotel near me”
Sasa jiulize…
Anapoandika hivyo —
anakukuta? au anakutana na competitor wako...
Ukikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana
Samia ni kiboko kwa kuchamba anakuchamba mpaka unakufa. Ukija Dar unakutana na Chalama naye mchambaji hawa nasikia wanakaa...
Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu
Mfano njia za
Kisayansi/teknolojia
Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri,
Kisiasa/kidemokrasia
Kwenye siasa naona...