hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

    INTRODUCTION:- Salam sanaaa? HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI. Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!) Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
  2. Picha: Hii ni Nini au magendo

    Jaamaa kanikodi picha linanaza jamaa ametoa laki sita, Haya Pale kivukoni polisi wote wanampa ushirikiano mpaka naogopa.. Hii ni Nini jamani au mafuta ya watu
  3. Hii ndo maana halisi ya Mitano tena🤣🤣🤣

    Hii ndo maana halisi ya Mitano tema.. Samia Suluhu Hassan tunaye natunatambba naye 2025-2030 Born in KIZIMKAZI Kuitawala Tanganyika🤣🤣🤣
  4. CCM wanafanya nini hiki miaka hii ya 2025?

    Picha utafikiri za miaka ya 1914 kwenye Vita kuu ya dunia Picha utafikiri wanamlika samaki kwenye maji? CCM wanashindwa kabisa kuweka technology nzuri Hizi aibu kwa nchi mpaka lini ? Hawajui tupo duniani na dunia inafatilia haya maigizo yao? Ndio maana wakenya wanatucheka tu na kuhaki system...
  5. Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  6. CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  7. A

    Naombeni mchanganuo wa kupaua hii nyumba

    Ramani
  8. Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

    Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia. Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya...
  9. Kama ulishawahi kumuona mtu whatsapp muda wote yupo online hadi saa nane za usiku soma hii..

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
  10. Hii picha niya msanii gani ?

    Nani anamjua huyu ? Naamini kila kitu kina tafsiri yake.. 1. Kwanini Profile hiyo ? 2. Kwanini Username hiyo ? Nielezee yangu ?
  11. Watu mnaokaa Dar es salaam, je Hii gereji bado ipo?

    Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote. https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
  12. Mitandao hii hii ambayo mnaichukia na kuifungia na kuipunguzia speed halafu mnataka kupata na kodi humo humo.

    Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
  13. Nina mda mrefu sana na bitcoin, leo hii inauzwa mil 300 kwa btc 1

    nkiangalia nyuma naona kama nlichelewa sana ila nakumbuka nlivochapwa sana 🤣
  14. katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  15. G

    Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  16. Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  17. Suluhisho Pekee ni Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais-CCM kurudiwa !! Hii itawalinda Wazalendo wote walioamua Kukemea kilichotokea January 2025!

    Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!. Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!. Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake. Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua...
  18. Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  19. Wenye kujua hii biashara ya LSSC

    Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu... Nahisi n network business Mwenye idea tujulishane... Ruksa HATA kujielexa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…