hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

    Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango. Jamaa...
  2. Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

    Hivi mmekosa wafanyakazi?? Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea? Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa. Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
  3. Moo kapewa 49 ya hisa za simba kwa bilioni 20, hii ni dharau na utapeli

    Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
  4. F

    Hii kitu naipata wapi

    Naitafuta sana na Nahitaji anaejua aniambie au Tz zinaingizwa kimagendo maana nilikunywa siku 1 tu
  5. Hii video inazungumzia vizuri kuhusu Serikali hii

    Ni hayo tu!
  6. Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  7. U

    Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  8. Mitambo ya nishati ya Haouth imeshambuliwa ikiwemo Haziz power station

    Houthi wapata kichapo cha mbwa-koko huko Yemen. === The IDF struck an energy infrastructure site that was used by the Houthis in Yemen, the military confirmed on Sunday morning. According to the IDF, the strikes were conducted in response to repeated attacks by Houthis against Israel and...
  9. D

    Kuna baadhi ya bidhaa online ni wizi mtupu sisimizi anauzwa kwa bei ya tembo je hii ni biashara au utapeli?

    Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda! Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza! Mfano wa bei...
  10. Vibe za sherehe ukumbini: Ipe maneno clip hii

  11. Kwanini picha hii sio halisi?

    Taja sababu moja tu ambayo haina maelezo mengi
  12. Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  13. Hivi ni kwanini ipo hivi, yaani unakuta hii inajulikana kabisa kwamba ipo hivi alafu inakua vile au mawazo yangu ni tofauti sana?

    Kipindi kile nilipenda sana somo la geographia, yaani baada ya kujua kusoma bwinde uko kijijini basi mwalimu yule aliefundisha somo la maarifa ya jamii hakika alinivutia sana. Yule mwamba alikua na story nyingi sana katika kusoma. Mara Dunia ina mabara saba, mara mto mrefu kuliko yote Dunian...
  14. Nilikuwa sina hela, ila nilimwambie mchumba aje geto na kweli kaja nakaondoka bila kumpa hata pesa

    Leo nimeshangaaa hiii Dar leoo nilikuwa na ahadi na demu huyoo sasa mm sikuwa na hat buku nikamchek akasema nakuja nikajua masihara anatokoka Twangoma mimi niko Kigamboni kweli bana mchan niko geto akasema nishuke wapi nikamwambia darajani Basi akaja nikapigaa show mchana ule mpaka 18:00...
  15. Mtoto wa kiume ,chukua hii

    Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga. Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza .. mimi sikuelewi Au unatamani kuwa kama yule lile lichoko li Uncle T.. of course wana mafanikio...
  16. Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  17. House4Sale Mwenye Camera Kali aje nimpe dili week end hii

    Kuna mtu anahitaji kupiga picha zaidi ya 60 Jumapili ya kesho kutwa asubuhi na mapema sanaa. Location ni Gongo la mboto. Hakikisha una Camera ya viwango. Njoo inbox niku connect
  18. Ukienda migodoni, hasa hii local ndipo utajionea mambo ya ajabu na watu wa ajabu

    Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi. Watu wa migodoni wana roho za ajabu, ni kama wanyama. Yaani ikitokea duara (shimo) limeua huo usiku watafurahi sana...
  19. K

    Uteuzi wa wabunge Ulenge wabunge walio na uchungu na nchi hii na wasomi

    Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za kuwahonga wajumbe waliachwa. Ninaishauri Chama changu. Chama kifanye utafiti wa kina na iwapendekeze wale...
  20. R

    Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Salaam, Shalom! Palikuwepo manabii wengi Katika agano la kale, mfano Adam, Nuhu, Musa, Elia, Nehemiah, Daniel nk nk. NABII katika Agano la kale na kuishia kwa Yohana Mbatizaji,waliishi maporini kujitenga na UOVU kuepuka kuona, kusikia UOVU Katika mikusanyiko ya watu, ingawa SI wote, manabii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…