hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, ni wazi kwamba watu wanamdharau (wanamchukulia poa)

    Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR "..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

    Kwema Wakuu! Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa. Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀 Ila Lisu Kiboko tuacheni utani. Lisu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

    == Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wacha sasa nitete na wale tuliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Serikali ya Tanzania. Naamini tutakubaliana kuwa "Tangu Tanzania iwe huru hatujawahi kuwa na shule za Serikali za Msingi na Sekondari zenye hadhi na mwonekano kama...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

    Kibu Denis Mechi 7 Magoli 4 Fiston Mayele Mechi 10 Magoli 3 Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa Watangazaji na Wachambuzi ambao Kutwa huwa wanaisifu ( wanaipamba ) tu Yanga SC hata kama kwa mara ya Pili...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

    Wanajamvi habarini za asubuhi. Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi. Tabia yenyewe ni hii "sipendagi wakati wa kunyanduana baada ya kupizi eti mimi ndo nijifute na kumfuta yeye genye zilizomwagika badala ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama yaitupilia mbali kesi ya Mchungaji Mwingira

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira. Akisoma hukumu hiyo leo Februari 26, 2018, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema Dk Morris katika kesi hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtandao maarufu wa WhatsApp GB hii kitu kitaalamu inakaaje

    Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siku Chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi wa serikali watatoka mikoa hii.

    Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo. 1.kilimanjaro 2.Mara 3.Arusha 4.Mwanza 5.kagera 6.Mbeya 7.Iringa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

    Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira: Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri. Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rosa Ree na Abby Chams Moto wa Kuotea Mbali Wametuletea Hii

    A beautiful love song from the Goddess #RosaRee and as always she never disappoints. In this amazing love story she has featured singer songwriter and violinist #AbbyChams and it’s a MUST WATCH. Rosa Ree never seizes to surprise us with her amazing talent. Can’t wait for what’s next.
  11. JamiiForums Tanzania Bukoba, Moshi, Arusha na Mbeya ndio wanaoichangamsha nchi hii? Tarehe 25Dec na 1 January miji mingine hupoa kama kuzimu

    Habari Wakuu! Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii. Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania? Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hii jam ya Moshi leo 24.12.2021 ni kama Mbagala

    Wakuu kuna kamba nzito sana hapa Moshi mjini hadi njiapanda ya Himo. Abiria wamekwama today saa moja jioni
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji supplier wa mchele 200kg leo hii 24th December 2021

    Habari ya asubuhi ndugu zangu, yoyoye anaemjua supplier mzuri wa mchele anichek kwa number: 0783 242247 Tumepata emergency therefore is very urgent to get it today or tomorrow. Vigezo ni kama ifuatavyo: 1. Awe in Dar Es Salaam 2.Mchele uwe in packs of 25kg 3.Mchele uwe na sticker/lable...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Tanzania Royal Tour

    Her Excellency! Impressive video!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zitto, hii ndiyo timu ya kupitia masuala ya Tume Huru ya Uchaguzi uliyotegemea au wamekuchakachua?

    Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu wakumleta kwenye hoja nyeti wakati alishatoa kauli mbili tofauti juu ya uchaguzi uliopita? Ana kauli...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tweet hii ya Prof. Mwandosya inanifanya nimkumbuke Ben Saanane

    Kaandika hivi kupitia twitter: "Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu. Hata ya uzamili ni kazi sana. Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au...
  17. JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano kuondoka ada Ili mzazi ale keki ipi ya nchi hii

    Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure. Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
  18. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke wa namna hii

    Habari! Usioe mwanamke wa namna hii; 1. Anayevaa mawigi 2. Anayeweka kucha za bandia 3. Anayeweka kope za bandia 4. Anayevaa shanga kiunoni 5. Ana smart phone na hana kazi 6. Ana ghetto na hana kazi au ana ghetto na anaishi karibu na wazazi. 7. Aliyekuambia mfanye siri mlipoanza mapenzi. 8...
  19. JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi mama samia na serikali awamu ya sita.sikukuu hii watu wamesafiri sanaaaaaaa

    Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
  20. JamiiForums Tanzania Vipi na hii mtaigomea nayo?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…