hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kauza utu wake. Hakutakiwa kukubali kulamba asali kirahisi namna hii

    Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya. Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
  2. JamiiForums Tanzania Chukua hii, Tajiri namba moja duniani Elon Musk anadaiwa

    Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency ya LEGO, Ambapo yeye pamoja na kampuni zake za Space X na Tesla, wanashtakiwa na Keith Johnson...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya Ramani hii

    Habari wakuu. Mwenye vipimo vya hii ramani naomba
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina Mke ila nimekuwa mtu wa kupenda ngono sana hadi nanunua wadada na kupiga punyeto

    Habari ndugu zangu.... Nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimeoa nina mtoto mmoja, Kabila langu ni Mdigo mtu wa Tanga. Maisha yangu ni ya kawaida, nafanya kazi kwa masaa I mean naweza ingia kazini saa 10 Alfajiri mpaka saa 5 asubuhi nipo nyumbani. Suala la...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Power bank kama hii nitapata wapi?

    Habarini za majukumu nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana. Je, kwa Sasa naweza pata? Niko Arusha.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hii pisi mazee ni hatari

    Wazee hasa wa mjini daslamu hebu mnisaidie....huyu mwanamke nimemuona yuko hapo ubungo plaza ground floor kwenye bank moja inaitwa sijui akiba au DCB(kama nimekosea mtanirekebisha)... Huyu mwanamke nilimuona last week na inavoonekana ni mfanyakazi wa hiyo bank... Sifa zake... Mrefu:cm 180-190...
  7. JamiiForums Tanzania Hii hali tunaweza kuielezea vipi?

    Habari zenu members. Kuna hali Fulani ambayo ipo,kwamba waeza kutana na mtu lkn bila sababu yoyote ukajikuta unamkubali,mnaenda Sawa na mnajikuta kana kwamba mmefahamiana siku nyingi,mkikutana mnasalimiana vizuri na mnaweza tengeneza connection kirahisi Tu. Lakini kinyume chake kuna mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Waandishi waungane kukomesha hii Tabia Chafu ya Haji Manara

    Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda. Kama kuna Watanzania wanamfanyia dhihaka hii bila sababu yoyote, yani anapita tu mtaani unamdhihaki...
  9. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Utafanya nini ukiokota hii hela?

    Wewe apo! Yes wewe apo sio mwingine... nina swali moja naomba nikuulize, ambalo ukijibu baadae nitakuambia maana ya hili swali langu. Kwamfano unatembea mtaani halafu njiani kwa bahati nzuri ukaokota shilingi laki moja (100,000/=) Sasa ukawa una furaha sana unatembea huku unapanga utaitumiaje...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine ilianza kupokea misaada ya kijeshi na kiuchumi toka 2014, lakini mpaka leo kilio chake ni kilekile cha kuomba silaha. Hii imekaaje?

    Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi. Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

    Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye usafiri binafsi wa kutoka DSM kwenda Mwanza wiki hii

    Wakuu habari! Naulizia Kama Kuna mwenye usafiri wa private kutoka DSM kwenda MWANZA ndani ya wiki hii tuchekiane PM,Nina kiasi Cha kuchangia mafuta na ninahitajika kufika Mwanza kabla au siku ya Alhamisi. Ahsante!
  13. JamiiForums Tanzania RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii michango itayochangishwa si sababu ya Royal Tour, hawa vijana wa Kiholanzi wanaujua Mlima Kilimanjaro tangu enzi na enzi

    Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini. Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
  15. JamiiForums Tanzania The Oman Connection: Kikwete in 2012 and Samia in 2022

    Salaam wakuu, Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo. Kuna hizi picha mbili za Kisiasa. Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3. Pia soma: 1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA 2...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata dawa hii iliyogundulika ya kutibu cancer

    Ndugu wapendwa nawasalim!!!!! Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu...
  17. JamiiForums Tanzania Waombaji wa ajira hii imewaHi kuwakuta? Je mlitatua vipi?

    Niko naomba nafasi ya assistant Nursing officer, sifa inayotakiwa ni An ordinary diploma in nursing, cha kushangaza nimeomba sehemu moja tu ya bugando, sehemu nyingine eti naambiwa sina sifa, tazama 👇👇 Sifa zinazotakiwa Mimi Qualification nilizonazo na ambazo nimejaza kwenye akaunt...
  18. JamiiForums Tanzania Toyota Probox hii ina shida gani?

    Wakuu, Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR barabarani na kwenye mlima haizidi 40km/hr. Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kama upo Dar na mkeo yupo mikoani imekula kwako. Weekend hii naenda kumchakata

    Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana. Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
  20. JamiiForums Tanzania Wasomi: Hii ina maana gani!

    Nimeona nikasema niwashirikishe labda inaweza kuwa fursa..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…