hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  2. Muna Love ajutia kufanya upasuaji wa kutengeneza mwili wake

    Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka wazi madhara yake hivi karibuni. Muna Love ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kutokana na madhara...
  3. Baada ya Mwigulu kudai VAR kisa bao la Chama, hii ni kauli ya Ofisa Habari wa Simba

    Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa. Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
  4. Ushauri kwa TANESCO Arusha; Hii siyo hujuma?

    Nimeona kitu kinachofanyika ama sijui ni tanesco ama ni jiji ila kwa namna nilivyoona ni uharibifu ni kweli inawezekana kwamba miti hii inazuia ama inaleta madhara kwenye nyaya na njia za umeme na hivyo inapaswa kukatwa ili kupisha nyaya za umeme Hili siwezi kupingana nalo ila ambacho mimi...
  5. Hii barabara ya Kenya yasababisha Twitter kuwake moto baina ya raia wa Zibambwe - MATAGA vs upinzani

    Jameni hata mimi sikua nimeona hii picha kihivi kwenye hii angle, mamayeee hii nchi inazidi kunoga. Mwandishi wa habari wa Zibambwe ameipost kwenye ukurasa wake wa Twitter, humo raia wamepelekeshana balaa baina ya MATAGA wa huko au makada na wapinzani
  6. Je, kwanini Mihimili hii ya nchi imekuwa na muda tofauti wa kutumia teknolojia kufikia wananchi?

    Haya wadau, Ikulu ambayo ni serikali kuu imejiunga Youtube Desemba 22, 2012 wakati Bunge TV imejiunga Youtube Mei 12, 2017. Wakati huo tunapaswa kujua Bunge ndilo linawasemea wananchi hivyo tunapaswa kujua wanasema nini lakini tofauti ya wao kujiunga ni miaka mitano. Aidha kwenye upande wa...
  7. Hutakiwi kukubali ValentineDay inakukuta single. Trick hii hapa

    Nimechukua stanza yangu moja tu no.2.... naona mkeka unaelekea kutiki hapaa. Shairi ni moja beti sita na kila moja na hadhi ya pisi unayotaka. Sasa kazi kwako.
  8. M

    Hii teua tengua teua ya Rais Samia iwe funzo kuwa ukiona Umeteuliwa usianze Kujisikia, kusahau ulikotoka na kudharau Watu

    Waandishi wa Habari wa Tanzania mkitaka Teuzi kwa Awamu hii ya Kulazimisha ya Sita ( wakati Kikatiba bado ni ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ) hakikisheni mnatoke BBC, Azam Media, IPP Media na TSN tu pekee. Kuna Msemaji Mmoja ( Bingwa wa Majungu ) Serikalini hakupenda Uteuzi wa Mtu na...
  9. Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

    Ni apartments
  10. Hii habari ya CRDB kuwarejeshea fedha wateja wenye mikopo ni ya kweli?

    Habari? Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
  11. Unapiga 'gym' na usiku unakojoa kwenye kopo kitaalamu hii tunaitaje?

    Salama, upo au ndio ivo tena umeme huu bora kibatari. Sasa ni hivi kama ilivyo nadra kwa kanali kuogopa kinyonga, una kitambi unaogopa mende, una Nissan Murano, range halafu umepanga kirahisi tu hakuna usawa hapa kama si mizimu basi bombonya fulani by default. Kijana gym sana, kifua kikubwa...
  12. Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani
  13. Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu, Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
  14. Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
  15. Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
  16. K

    Ni kweli wanawake hutumia hisia kufanya maamuzi badala ya akili?

    Habari za humu wana jamii forum wote. Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano. Mada hii naiweka katika mtindo wa swali na hii ni kutokana na watu wengi huwa wanawasema Wanawake ya kuwa wanatumia sana hisia badala ya...
  17. Mwaonaje hii waungwana? 🤣🤣

    Hii ni noma sana...
  18. Mnachukuliana vipi na marafiki wa aina hii?

    Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo. Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri. Miezi miwili iliopita mambo yake...
  19. Hii ndiyo Agenda ya ACT-Wazalendo kumuombea Mbowe msamaha kwa Rais

    Shabaha kubwa na ya Makusudi ya ACT-WAZALENDO kumuombea Mhe Freeman Mbowe msamaha kwa Rais amsamehe kuhusu kesi yake ya tuhuma za ugaidi inaonekana chama hiki kwa kujua au kutokujua kinataka kutumika kuisafisha serikali ya awamu ya 6 baada ya kuona kua hii kesi inalitia taifa aibu. Sasa...
  20. B

    Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…