hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani semina ya sensa kufanyika wiki 3. Huu ni urasimu, siku 1-3 zingetosha kabisa

    Habari! Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu. Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kifo kizuri kwenye hii Dunia iliyojaa kila aina dhiki?

    Huku na huku nafsi imekata tamaa na kuendelea kuwepo duniani. Sijui nini kinafuata baada ya roho yangu kuacha mwili labda huko mbeleni baada ya kifo nitafahamu. Siri ya mtungi aijuaye kata, siwezi kuelezea yote ninayoyapitia hata nguvu ya kuandika sina. Malapa na viatu vimeisha kwa kutafuta...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

    Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli.... Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
  4. JamiiForums Tanzania Klabu ipi imelamba dume kati ya Simba SC na Yanga SC kwa mikataba hii?

    Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao Simba sc na MBET Yanga sc na SPORTPESA Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka...
  5. JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo nchi hii ni CCM na vibaraka wake

    Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu. Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuagiza hii gari VOLVO XC60

    Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
  7. JamiiForums Tanzania Diamond apokelewa Congo kwa shangwe

    Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu. Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa Elimu nchini Tanzania

    UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA Elimu nchini Tanzania ilianzia enzi za kabla na baada ya ukoloni. Elimu kabla ya mkoloni ilikua unapewa kazi za jamii kutokana na umri kuna waliolioma, kufuga, kuchunga na kupika kutokana na umri wao. Elimu baada ya mkoloni ilikua pia kutokana na umri lakini...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kinana please ongelea suala la bando, wewe pekeee ndiye unayesikilizwa nchi hii kwa sasa

    Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni...
  10. JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    ORODHA YA WATU WANAOJIONA WAJANJA NCHI HII! Anaandika, Robert Heriel! Nchi hii inamambo Sana. Leo sina mengi ya kusema, nijikite kwenye Uzi. Ifuatayo ni orodha ya Watu wanaojiona ni wajanja na Werevu. 1. Wasanii wa Muziki, BongoFleva Kundi hili ndilo linaongoza Kwa kudhani kuwa wao ndio...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu kuwa Vice Chancellor wa Vyuo Vikuu 2 kwa wakati mmoja ni Tanzania pekee au na kwingine ipo?

    Bila kuchoshana,someni wenyewe👇 ''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kununua ps3 iliyo katika hii condition.

    PS3 yangu imepata hitilafu. Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa. Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Habari wakuu. Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi. Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu. Kinachoifanya design hii kuwa ya gharama nafuu ni sababu hizi kuu tatu muhimu 1. Ina floor area (BuiltUp area=...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  15. JamiiForums Tanzania Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Video inajieleza
  16. JamiiForums Tanzania Hii inakera sana

    Jamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima . Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata wakitafutiwa kazi wapo hapo hapo na chakusikitisha hawachangii chochote sio luku au chakula wala...
  17. JamiiForums Tanzania Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka! Nyie Sport Pesa mnaifanya Yanga iende kuchukua vikombe vyote msimu ujao

    Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba. Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka Azam sijui ni shilingi ngapi kwa mwaka nimesahau Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Hii nchi inahitaji kuongozwa kidikteta, Namkumbuka Hayati Magufuli sana!

    Kuna wakati unafika tunammis JPM kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea. Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  20. JamiiForums Tanzania Unapenda papuchi kama mimi? Toa lifti kwa pisi kali, hii njia ni hatari sana

    Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa. Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha mabinti, niliamua kutoka na pisi kali tu, yaani nikiona demu mzuri mwenye hips na tacle nikipata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…