Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote."
Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni.
"Kwamba, ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi."
Wasikie sasa wale manguli wa kile...