hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji Beta Testers kwa hii App

    Hello bosses... Kama kichwa kinavyosema naomba watu wanaofanya jogging au mazoezi ya kutembea kunisaidia kutest hii app. Ni very simple kutumia, app inapima steps ulizotembea au kukimbia, inacalculate distance pia inakupa avg speed yako. Nahitaji testers wa aina tofauti tofauti ili nijue kama...
  2. JamiiForums Tanzania Ni hujuma kwa Taifa

    Hii ni dharau kwa Rais samia pamoja na serikali yake kwa ujumla. Ni jambo lenye fedheha kabisa rais anapotoa maelekezo yasizingatiwe. Mkuu wa nchi anapoongea inakuwa ni amri. tumekosa mvua kwa muda mrefu na kumekuwepo na uhamasishaji kutoka kwa mheshimiwa Rais, makamu wa rais, waziri mkuu na...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Wakiiona hii tumeisha!

    Tuwaambie ilipo au tuache kwa maslai ya Taifa letu. Hivi kwa Hali ilivyo sasa kununua kichwa Kama hicho na behewa zake inaweza kugharimu kiasi gani. Mie najua sehemu ilipo na mmiliki pia nabei pia n nzuri Sana.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno Wema hawafi ndio hii. Mzee Makamba kapotosha, Baraza la Kiswahili liingie kati

    Neno Wema hawafi ni neno la Kiswahili lenye maana 'Ukitenda wema wema wako haufi hata ikiwa kaburini wema wako hauwezi kufa' Hiyo ndio maana ya neno Wema hawafi. Unavyoona mtu kama Magufuli amekufa bado anakumbukwa na kutajwa kila mahali ndio maana halisi wema wa mtu haufi ila anakufa mwili...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunasheherekea uhuru wa Tanganyika gizani? Hakuna umeme mitaani. Hii aibu

    Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao. Lakini wewe na January mmekata umeme. Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru. Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
  8. JamiiForums Tanzania CCM hii ya 2025 ni ya Mzee Makamba na Mzee Kikwete

    Hakuna ubishi kuwa uchaguzi huu wa CCM umetengeneza CCM ambayo inafanana zaidi na Mzee Jakaya na Mzee Yusufu kwa tabia, muonekano na DNA. Nionavyo Mimi CCM hii imetundikwa kwenye mabega ya wazee Kinana na Makamba na vijana wao akina akina Nape na January chini ya uongozi wa Mzee Jakaya (baba...
  9. JamiiForums Tanzania Hii misafara ya viongozi imekuwa kero sasa

    Kuna haja serikali itafute njia mbadala ya kusafirisha viongozi maana ishakuwa adhabu kwa raia wengine hasa kwa Dar. Leo kwa watumiaji wa Pugu Road kuanzia Vingunguti mpaka Airport watakuwa mashuhuda wa hili. Barabara za Vingunguti kwenda kwa Mnyamani na ya Majumba Sita kwenda Kinyerezi zote...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  11. JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  12. JamiiForums Tanzania Dhuluma inayotokana na kuaminiana: Nini kifanyike soma hii

    Dhuluma ni chanzo cha kwanza cha ugomvi na kutokuwa na maelewano kati ya watu wawili. Pia dhuluma yaweza kupelekea Hata watu kutaftana na kutaka kuondoa uhai wa mwingine. Cha hajabu kitendo cha kutaka kutoana uhai, hakimuathiri yule aliedhulumu tu. Bali kinamuathiri ata yule aliedhulumiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

    Unjani sabuwona Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao. Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo...
  14. JamiiForums Tanzania Dashboard ya gari inaandika "Change Engine"

  15. JamiiForums Tanzania Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  16. JamiiForums Tanzania Madhara ya uchumba wa muda mrefu kupita kiasi

    1. Uchumba wa mda mrefu Hufungua mlango wa uasherati. Uchumba wa mda mrefu kupita kiasi hufungua mlango wa dhambi ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kati yenu, kwasababu mtakuwa mmetumia muda mwingi mrefu kuwa pamoja na kujihalalishia uhalali wa kushiriki tendo la ndoa kwa kujiona tayari...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Ureno hii, hakika Morocco mwendo ameshaumaliza

    Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu. Portugal asipofika fainali, nimekaa palee!
  18. JamiiForums Tanzania Hili jambo la mabehewa liundiwe tume

    Kiukweli, kwa wale walioishi Ulaya au hata kutembelea tu, watakubaliana na mimi kwamba hoja alizozitoa Kigwangalla na watanzania walio wengi juu ya harufu ya ubadhilifu kwenye ununuzi wa mabehewa ya SGR, inahitaji uchunguzi wa ukweli ufanyike. Yalinunuliwa shilingi ngapi, zabuni, value for...
  19. JamiiForums Tanzania Tatua hii hesabu

    Solve hii hesabu
  20. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Kagame ni mhaini wa EAC, hafai hata kwa kurumangia

    🚩 “Rwandans sio maadui wetu, ni dada na kaka zetu, adui yetu ni Kagame na Serikali yake, nawaambia wanyarwanda mnahitaji msaada wetu ili muwe huru, nahitaji sasa kuwasaidieni dhidi ya mu imla Kagame" -President Felix Tshisekedi wa DRC Kipi kifuatacho? MAREKANI NAYO YATOA KAULI KWA RWANDA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…