hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

    FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Ihefu FC. 90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo, Ihefu FC wanajitahidi kadri ya uwezo kutafuta bao, lakini muda mchache sana. 89' Akpan ameingia kuchukua nafasi ya MTUWilliam...
  2. JamiiForums Tanzania Ratiba hii ya Yanga, TFF Ina jambo lake kwapani

    Je, ilikuwa ni lazima Yanga icheze na Kagera sugar jumapili mwanza? Kwanini mechi isingesogezwa hata kwa siku mbili?
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

    Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga. Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Nigeria: Naona safari hii wameamua kuongonzwa na vibabu vilivyokula chumvi nyingi

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo. Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

    Tarehe 09 Desemba 1961 ni siku ambayo bendera ya Tanzania (Tanganyika) ilipandishwa kuashiria nchi huru yenye kujitawala na kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote la nje. Leo tunakaribia miaka 61 ya uhuru lakini bado wananachi wa Tanzania wanaishi kwa kudra za watawala. Bado...
  6. JamiiForums Tanzania Dar: Lori lililopakia saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta Wazo

    Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea. --- Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  8. JamiiForums Tanzania Crazy! Hivi kuna nchi inaongozwa vizuri sasa hivi Dunia hii?

    Naona kama kuna mtandao mkubwa Dunia nzima ambao umejipanga kuharibu na kubomoa mfumo wa Dunia kama tuujuavyo, Sasa hivi sidhani kama kuna nchi inaongozwa vizuri au ina Kiongozi yoyote wa maana anayejali haswa maslahi ya watu, Dunia nzima is f--ked up now, hakuna pa kukimbilia.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya zao la Korosho Mbichi na za kukausha. Tupeane feedbacks za deal hii

    Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa ,Kaskazin and nje ya mipaka ya Tanzania.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa mkurugenzi TCAA hii ni ajali kama zingine japo kuondokewa na mpendwa hakuzoeleki

    Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu. Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
  11. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Maendeleo Bank jihadharini na kampuni hii iliyopo Kipunguni, mtaumia!

    HIZI kampuni za kipunguni zinazojutangaza biashara za kuku na unga kabla ya kutoa mkopo.mjiridhishe ushauri tu
  13. JamiiForums Tanzania Rekodi ya ajali za ndege aina ya hii ya Precision Air

    Accidents and incidents The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,[74] resulting in 398 fatalities.[75] This list is incomplete; you can help by adding missing items. (October 2022) Accidents with fatalities Date Flight Fat. Surv...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana ya uzalendo kwa vitendo

    Wakti wengine wanaonyesha uzalendo kwa kuvaa nembo na tai zenye bendera ya Tanzania, wanyama wakuu wa tanzania na mlima Kilimanjaro na Zanzibar tu huyu kijana ameamua kutufundisha maana halisi ya uzalendo. Hivi ni kweli ni yeye tu aliyekuwa ameiona ndege ikianguka kwenye maji? Tunajua kuna...
  15. JamiiForums Tanzania TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

    Mitaani kuna vituko vingi. Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model. Inakuwaje hapo?
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

    Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini? Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoto Kuota upo nje ya nchi tafsiri ya Ndoto hii nini

    Ndoto hii nimeiota usiku huu mida ya saa 8 sasa sababu usingiz ulikata ikabidi niingie mtandao jf kupata habari zilizojiri siku nzima ya jana. Natoa pole kwa wafiwa wote waliopoteza wapendwa wao kutokana ajali ya ndege nawaombea heri majeruhi wote Mungu awaponye warudi kwenye majukumu yao...
  20. JamiiForums Tanzania Wasioamini Mungu au uchawi wanaelezeaje hii?

    I am genuinely curious. Hii mnaelezeaje msioamini Mungu au uchawi? Kiranga Scars
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…