hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

    Wakubwa kwangu shikamoni, wadogo kwangu habari zenu ? Hongereni kwa majukumu na afya njema, poleni mnaoumwa Mungu akawajaalie mpone. Ndugu, Nilizaliwa miaka 31 iliyopita. nilipenda sana kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi, sikufanikiwa kutokana na umri wangu kupita ule unaotakiwa, kukosa...
  2. JamiiForums Tanzania Hadithi: Nitakupata Tu

    NITAKUPA TU SEHEMU YA 001 ********* Alihisi ilikuwa sauti ya mwanamke, sauti ambayo mwanzo alidhani haikuwa ya mwanamke kutoka na usiku ule kuwa vigumu. Lakini sauti ile bado ilikuwa ikisikika katika ngoma za masikio yake. Sauti ya mwanamke akilia na kuomba msaada, sauti ikipiga kelele za hali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa hii minne (4) hutajwa sana katika matangazo mbalimbali ya biashara kwenye redio na runinga?

    1. Dar es Salaam 2. Arusha 3. Mwanza 4. Mbeya Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara? Ila ninachofurahi hata mikoa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu: Kuna Readings za Namna Hii Kwenye Vifaa Mnavyofundishia?

    Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homework
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia sahihi (ya kisayansi) ya kuwaumiza 'haters' wako

    Hakunaga binadamu asiyetaka kuwaprove wrong haters wake. Kuwaprove wrong watu waliokuwa wanasema hatoweza ku accomplish jambo fulani. Hakunaga.Hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu Ayubu kwa sababu alitaka kuprove kitu kwa hater wake. Kama kuna watu walikuwaga wanasema hutoweza kutimiza jambo...
  7. JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI BINAFSI: Mitandao ya Simu inadai wateja wao wengi sana Januari hii

    Salam za Jumatatu. Iwe Voda, Tigo, Airtel nk, kuna madeni ya kukopa iwe songesha, nk. Kwa bahati njema wateja waaminifu hukopeshwa fedha nyingi sana. Kwa kuwa kimsingi chip ya mteja ndio ya biashara zake Hana budi kulipa deni. Na Kwa kweli hakuna namna. Mwezi Januari ni wa malipo mengi, hata...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa walioyafanya wanaojiita wanamapinduzi kwenye hii nchi ni dhahiri kabisa hii nchi itaendelea kuwa na laana ya milele

    Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima tungekua maskini tu. Kinachosikitisha zaidi ni kuona common Men wakishabikia mambo ya kikatilia kama haya.
  9. JamiiForums Tanzania Wazee hii ya kuishi na demu mjamzito imekaaje.

    Wasalaaaam wazee wa kazi.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati... Kuna kabinti nilikapa mimba sasa ni miezi minne imepita tuko mkoa mmoja ila maeneo tofauti tena kwa umbali wa kupanda gari kwa .asaa kama mawili hivi. Huyu binti anang'ang'ania aje tuishi wote maana huko aliko anaishi na...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  11. JamiiForums Tanzania 11 mbaroni wakituhumiwa kutapeli kwa ujumbe wa ‘Tuma kwa namba hii’

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu 11 Kwa tuhuma za utapeli kwa njia ya mitandao. Watuhumiwa hao ni wale ambao wanadaiwa hutuma ujumbe mfupi Kwa njia ya simu, 'Ile pesa tuma kwa namba hii', ambapo wamekamatwa na simu za kiganjani 19 pamoja na fedha Sh700,000 ambazo wanadaiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya watangazaji wa mechi Azam TV na kutumia Neno "Madhambi" mmeitoa wapi?

    Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa mara kutoka kwa mtangazaji Gharib Mzinga kwa namna anavyopenda kutumia neno "madhambi" kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

    "Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." (Qurani 29:41)
  14. JamiiForums Tanzania Quuen of the south moja ya series Bora Sana itazame hii.

    Wakuu nimetazama hii series mwanzo mwisho kupitia simu yangu. Ukiona Hilo jina utasema inahusu wanyama labda, Kwa kweli ni series nzuri Sana inayo husu madawa ya kulevya mitifuano ya kufa mtu, kuzungukana ndio kabisa wapo na uhalisia kabisa na Mambo ya madawa hawa wa Mexico hii wamecheza. Mambo...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
  16. JamiiForums Tanzania Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Mji wa Ukraine wa Soledar umetekwa lakini waliokufa wengi ni Warusi. Ipo vipi hii?

    Jeshi la Ukraine pamoja na msaada mkubwa wa NATO linazidi kuishiwa nguvu na hata habari za mrejesho kwa wafadhili wake. Mji umezingirwa tangu Agosti na hatimae warusi wawe ni kutoka Wagner au wapi lakini wamewatimua Waukreni kwenye machimboj ya chumvi yenye mapango mengi. Cha ajabu UK ambaye...
  18. JamiiForums Tanzania Januari hii ya 2023 ni kiboko ya Januari zote tangu tupate uhuru

    Habari za kushinda wakulungwa! Hii January ni kiboko. Au mnaionaje nyie wenzangu. Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga. Hii January hata Mimi imenichapa.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa tabia hii una tofauti gani na Ibilisi?

    Tabia iliyomponza Ibilisi ni KIBURI. Baada ya kuambiwa na Mwenyezi Mungu amsujudie Adam sijida ya heshima basi yeye alikataa Kwa kujawa na Kiburi kwasababu yeye alijiona Bora sana. Na alipoambiwa kwanini ulikataa kumsujudia Adam akasema; Mimi ni Bora nimeumbwa Kwa Moto na yeye ameumbwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Hii nchi wamepewa vichaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…