King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini.
Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Hello ladies and gentlemens?
Poleni na pilika pilika za maisha nimekuja na habari nzuri kwenu kwa wale wapenzi wa Sato wabichi (fresh)
Tunatoa huduma ya kuuza samaki fresh aina ya Sato kwa bei ya Tsh 8,500 kwa kilo, wanaingia kati ya samaki 5 - 4 kwenye kilo 1.
Samaki wetu wanaradha nzuri kwa...
Wasalaam wana JF
Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana.
Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani.
Mwenye Enzi Mungu...
Nimeota kumbe Gari Chiba lilishachomwa Moto Kitambo tu na kwamba kwa sasa Picha ya Gari inatafutwa ili Snipers watafutwe na walipige Risasi vile vile na Watafutwe Wataalam walirejeshe kama lilivyokuwa Siku hiyo ndipo Chiba akabidhiwe Kelele ziishe Mtaani.
Chiba na Wewe kuwa Mvumilivu Kwanza...
Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota.
Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji.
MTWARA
Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro...
Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo.
=======
More than 20 Russian generals have already been killed in Russia’s war against Ukraine, Japanese newspaper Nikkei...
Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo.
Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe.
Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
Huu ni ushauri kwa serikali yetu kuna hizi biashara katika sehemu za ibada mfano kuna kuuza maji kuuza mafuta na vinginevyo serikali iweke utaratibu wa kukusanya mapato katika hizi biashara ambazo Inafanyika bila kulipiwa Kodi.
Lipa Kodi kwa naendeleo ya nchi
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume...
Habari wana jamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.
Niko na age 27 ila mpaka sasa...
Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!!
Hatusikii kashikashi yoyote...
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...
Tupia na wako...
Sijui hii hali inanipata Mimi peke yangu au hata watu wengine!!
Yaani nikiona Moss Plants (mimea midogo ya kijani) ambayo huota sehemu zenye maji maji huwa nakosa raha kabisa, na najiskia vibaya. Hali hii imenianza tangu niko shule ya msingi lakini hadi leo bado ninayo.
Yaani sehemu ikiwa na...
SIKU mbili baada ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Papa Francis kumaliza ziara yake Barani Afrika: katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sudan Kusini, wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wamekutana Bunjumbura kujadili Hali ya mambo DRC hususan Mashariki mwa nchi...
Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba.
Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.