hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Nguo aina hii zinapatikana wapi

    Habari wana jamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
  2. Phobia

    JamiiForums Tanzania Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

    Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani. Niko na age 27 ila mpaka sasa...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
  4. Area 56

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

    Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0. Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini... Tupia na wako...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAZECHA alisema juu ya ufisadi wa Mwigulu. Leo hii anajikwapulia anavyotaka

  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

    Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
  7. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

    Sijui hii hali inanipata Mimi peke yangu au hata watu wengine!! Yaani nikiona Moss Plants (mimea midogo ya kijani) ambayo huota sehemu zenye maji maji huwa nakosa raha kabisa, na najiskia vibaya. Hali hii imenianza tangu niko shule ya msingi lakini hadi leo bado ninayo. Yaani sehemu ikiwa na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kazi hii ya kuwaua, kuwafyeka na kuwatokomeza magaidi wa M23 ipewe JWTZ peke Yao

    SIKU mbili baada ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Papa Francis kumaliza ziara yake Barani Afrika: katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sudan Kusini, wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wamekutana Bunjumbura kujadili Hali ya mambo DRC hususan Mashariki mwa nchi...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  10. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Hii back to school kwa Wanawafunzi Wajawazito imekaaje?

    Nimeona kuna shule huko Mtwara mwanafunzi ameripoti na mtoto wake mchanga shuleni baada ya kujifungua, nawaza: 1. Muda wa masomo mambo yanakuwaje? Kuna mtu anakaa na mtoto nje na binti anaendelea kusoma? 2. Binti anapata nafasi ya kutoka toka nje/ au humo humo darasani kumnyonyesha kichanga...
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hii hali haibadiliki

    Nimiaka Sasa bado wanaume wenye sura nzuri,ongea Yao na tembea Yao na mavazi huwadatisha wanawake hata watu wazee wanaume Kwa wanawake wanakushauri uolewe na Fulani nasio Fulani ambaye yupo yupo tu hata kama anahela . Hii imekuwa inawagusa wanaume wengi kweli kwasababu hawavai nguo vyema. Au...
  12. On Duty

    JamiiForums Tanzania Vijana wa namna hii wanapatikana DSM pekee

    Wasaalam ndugu zanguni, Katika tafiti zangu ambazo nimekuwa nikizitafiti takribani miaka isiyopungua kumi(10). Nimekuja kugundua kwamba hawa vijana wa hapa DSM ni mzigo usio wa kawaida. Ukipita mitaa ya Mwananyamala, kigamboni, kimara, makumbusho , kinondoni yaani hawa vijana sijui wapo...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Makombora yenye shabaha kali kupewa Ukraine, zege hailali, hii ndio fursa sasa

    Ukraine kupewa makombora yenye uwezo wa kupiga kwa shabaha kali sana, likatumwa ndipo linapiga... Kipindi hiki Urusi imelemazwa na Ukraine ndio muda muafaka wa kuwezeza Ukraine pakubwa, zege hailali, Urusi isipewe fursa ya kuamka tena.... ================== Western allies pledged precision...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Katibu itikadi na Uenezi CCM ashiriki kupika

    Vichekesho vya awamu ya 6 vinaendelea.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

    Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni; "Wale...
  17. Logikos

    JamiiForums Tanzania Hii Picha ilipigwaje - Vantage Point ni Ipi?

    Kwa wataalamu wa Upigaji Picha hii picha ilipigwa vipi au ni kweli kichwa cha huyu ni about 2 times bigger?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni Kampuni ya Pepsi (SBC) kwa hii bidhaa yenu mpya sokoni iitwayo Supa Comando

    Ni Kinywaji ambacho hakiishii tu kuwa Kitamu Ulimini na Kooni bali pia huchoki hata Kukinunua na Kunywa mara kwa mara. Hakika Kinywaji kipya cha SUPA COMANDO kinachotengenezwa na Kampuni ya Pepsi (SBC) ndiyo Habari ya Mjini kwa sasa. Na walipomaliza kabisa Mchezo hawajaishia tu Kututengenezea...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wapewe elimu ya upigaji kura, hii ni aibu

    Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura. === Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
  20. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kuna Doria ya helicopter jioni hii?

    Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
Back
Top Bottom