hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara lakini sijui maana yake

    Morng African. Kuna ndoto imekuwa inanijia mara kwa mara lakini sijui maana yake naomba msaada kwa anaejua. Jana nimeota narudi kazini pale ambapo niliacha mweenyewe na ujio wangu wa kurudi pale boss anaonekana kufurahia wafanya kazi wezangu nao wanafurahi sana lakini sijawaelewa. Mara...
  2. JamiiForums Tanzania Ninawezaje kupata hii huduma ya malipo ya selcom kwenye biashara yangu?

    Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
  3. JamiiForums Tanzania Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto wako unamleaje? Nimesikitishwa sana na watoto wa shule hii

    Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho. Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia elewa wapiga kura wa nchi hii wanahitaji nini kwa sasa

    Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Blog ya namna hii inaweza patikana kwa gharama rafiki?

    Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki) Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji huo muziki u play kwenye site. (ii)Play video, hapa nitahitaji visitor apelekwe kwenye You Tube...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiendelea kubaki humu na hali ya hewa hii tukueleweje?

    Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 39 sina mke wala mtoto. Je, hii ni kawaida?

    Natamani kujua kama hii ni kawaida au mimi ni mtu ajabu. Nakaribia miaka 39 na sina mke wala mtu naetegemea awe mke wangu. Sina mtoto japo ninauwezo wa kuzalisha vizuri sababu nilishawai wapa mimba wanawake watatu tofauti tukazichomoa. Japo bado sina mke lakini naamini sana kwenye ndoa na kuzaa...
  10. JamiiForums Tanzania Njia hii inatumika sana huko ughaibuni kusaidia kudumisha ndoa.....

    Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo...
  11. JamiiForums Tanzania Hii picha nilivyoiona nimecheka sana. The tripple integral 😆

    Picha imefutwa
  12. JamiiForums Tanzania Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Simba na Yanga Jumapili hii hapa! Atakayefugwa kapenda mwenyewe kwa uzembe!

    Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe! Atayefungwa kataka mwenyewe! Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi cha kwa hususani kuanzia saa 11.00 hadi 11:15 ni hatari tupu, Njia pekee ya simba nikuondosha mipira...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Makakala nakupa mrejesho kwamba, matumizi ya Madaftari kuhudumia wageni mipakani Karne hii nikufeli kwa wanaokusaidia. Fungeni mifumo mipakani

    Last time nilisema Tarakea na Manyovu wanatumia Madaftari kutoa huduma za kuingia na kutoka nchini nikashauri wafanye marekebisho vituo hivi vifanye kazi kama vituo vingine kuleta hadhi Kwa wanaovuka mpaka. Naomba kumkumbusha Dkt. Makakala kwamba bado Hali hii ipo vile vile pamoja na ushauri...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  16. JamiiForums Tanzania Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

    Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu. Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate hardly,,eti ninyi wa dada mnafeli wapi,wakati deodorant buku 5 tu,spray mpaka za buku 2 zipo,,mnafeli...
  17. JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  18. D

    JamiiForums Tanzania ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

    Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume hii itakusaidia

    Kwenye mchezo wa kandanda kinachohitajika na kupata pointi tatu muhimu, hii ni muhimu Sana, haitajilishi unashinda hyo mechi Kwa goli 1, 2, 3au goli 4 muhimu ni kupata point tatu haijalishi utachezea uwanja wa nyumbani au ugenini. Jambo muhimu ni kupata alama tatu. Ni vizuri uwe na mikakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…