hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Imekuwaje Vicky Kamata ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa TAWA!

    Katika pitapita zangu fb mara nikakutana na video ya Vicky Kamata kajipost facebook kwenye page yake akiuza sura na gwanda ya Tawa akiwa kwenye gari akielekea kwenye majukumu yake maana kwa sasa ni kamishina msaidizi mwandamizi TAWA Aisee kucheck comment watu wanaponda balaa ila na mimi kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii?

    Nimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lakini akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale Basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita nje baada ya kunifungulia nikaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Sheria mje hapa, mueleze hii kesi atashinda nani

    Kuna kijana mpigapicha nchi jirani kaipeleka mahakamani kampuni kubwa ya kuuza maji kwa kutumia picha aliyoipiga bila ridhaa yake. Picha yenyewe ni ya mtu anakunywa maji yanayotengenezwa na hiyo kampuni. Kuna watu wanasema kampuni haina kesi kwa sababu mpigapicha alipiga kinywaji chao bila...
  4. JamiiForums Tanzania Chama cha riadha kidhibiti hizi marathon za kihuni zinazofanyika kiholela kama hii Akili Marathon

    Mimi kama mdau mkubwa wa riadha ninaandika kwa huzuni kutokana na malalamiko ya watu kuhusu mbio za Akili Education Marathon. Walioshiriki wamejitokeza hadharani na kutupa lawama za kutosha kwa waandaaji. Wanasema mbio zilichelewa kuanza na huduma barabarani zilikuwa za kishenzi sana. Maji...
  5. JamiiForums Tanzania Sheikh wa Hezboullah Sadiq al-Nabulsi ameangamizwa!!!!

    Sheikh aliyekuwa anawasomea dua Hezbollah Sadek Nabulsi naye aliangamizwa katika shambulio la Israeli kwenye eneo la Al-Zahraa huko Sidon leo asubuhi!! Nawaomba tu Magaidi wa Hezboullah watafute tu Sheikhe mwingine!!! ============ For English Audience ==================== According to...
  6. JamiiForums Tanzania Hata aibu hawana hii serikali katili sana

    Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol. 1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum) 2.VAT (Value Added Tax – 16%) 3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara) 4.Petroleum Development Levy 5.Railway Development Levy 6.Import Declaration Fee 7.Anti-Adulteration Levy Jumla 40%...
  7. JamiiForums Tanzania Responded Kwanini TRA wanaomba nyaraka ambazo tayari ulishazitoa BRELA wakati unafungua kampuni?

    Unaenda Brela unafungua kampuni kwa kupeleka documents zote, unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela. Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiliwa na TRA wanakupa TIN namba automatic. Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utolewe Ufafanuzi Juu ya Mfumo wa Utoaji Alama katika Mitihani ya Mtandaoni

    Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika. Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye jumla ya maswali 50 unatoa alama kama 93 au 75. Kimantiki, ikiwa mtihani una maswali 50, tunatarajia...
  9. JamiiForums Tanzania Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

    Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮‍💨💼 Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽‍♂️ Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu 😂💰 Sio hata flex, ni reality tu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii ishu ya nyeti kupotea na Niki kuachana na Mke wake-Ni michezo tu ya kuficha jambo kubwa na zito la Kitaifa kwa sasa

    Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe. Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona hii mission ya mwezini sijaielewa, ni kweli tuliwahi kutua mwezini miaka ya nyuma?

    Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo kingetumwa kufanya hio kazi kingeweza me nilijua tena safari hii tutatua mwezini
  12. JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ngozi Na Nywele Bure Online Wiki Hii

    Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao na nywele kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi na nywele kupitia group la whatsapp ambapo utapata kujifunza yafuatayo: 1.Makundi 4 ya ngozi, na makundi 3 ya nywele,jinsi ya kuipima...
  13. JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Hii vita ya Marekani na Washirika wake dhidi ya Iran ndio imeonyesha siasa ni unafiki duniani kote

    Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia. Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani. Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8...
  15. JamiiForums Tanzania Wakimbizi Raia Wa Burundi Wamekuwa Wakijipatia vitambulisho vya NIDA kwa Njia Hii

    Warundi wengi wana background ya Ukimbizi wa nchi mbalimbali ikiwemo hapa Tanzania. Serikali ya Tanzania iliingia makubaliano na Serikali ya Burundi kuwarejesha warundi wote wanaoishi kwenye makambi ya wakimbizi Nduta na Nyarugusu. Sasa baada ya kurejea makwao, Warundi kwa kushirikiana na...
  16. JamiiForums Tanzania Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

    Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu sasa, US wameingia Iran na kumuokoa rubani wa pili

    Yaani kama movie vile, marubani wote wawili wameokolewa ndani ya ardhi ya Iran, hainingii akilini kwamba makobaz wamechapika kiasi cha kushindwa hata kujishikia hao marubani wawili. Hata hivyo Marekani mbona walitumia ndege ya F-15 ambayo ni non-stealth mode, kwa sasa waendelee kupiga kwa F-35...
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Utapeli wa "Ile fedha tuma kwenye namba hii" umeshuka kwa kasi

    TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI KUHUSU VITENDO VYA UTAPELI. Hali ya Usalama nchini inaendelea vizuri kutokana na jitihada za Jeshi la Polisi zinazo saidiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi katika kubaini na kuzuia uhalifu. Pamoja na ushwari huo, yapo matukio mengine yanatendeka kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Kama tuna-enjoy namna hii hapa duniani, mbinguni itakuwaje?

    Kama raha za muda mfupi hapa duniani zinafurahisha moyo namna hii... basi ni dhahiri tutakapoingia mbinguni tuta-enjoy sana sana! Tuta-enjoy kwa sababu huko uzima ni wa milele. Huko hakuna vita wala magonjwa, wala kilio wala kifo. Mbinguni hakuna kuzeeka, hakuna kula kwa jasho, hakuna ajali...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

    Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…