hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa 1: TRA. 2: FIRE...
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Natumaini wazima Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
  3. JamiiForums Tanzania Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

    Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana. Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

    Hii dhambi waliyoifanya Simba itawatafuna, inafahamika kuwa Simba wametumia ujanja wa kuweka pandikizi la huyu mdada kule CAF ili aweze kucheza kazi zote chafu ikiwemo hii ya kuisagia kunguni Yanga SC ambayo ndio club inayofanya vizuri Africa Mashariki na kati kwa miaka hii ya sasa, Mwanadada...
  5. JamiiForums Tanzania Israel inaweza kuutokomeza ugaidi wa Palestina lakini kwa maksudi hawataki, hizi ndio sababu ambazo zimegeuza ugaidi huo kuwa baraka kwao.

    Kinachofanyika huwa ni kupunguza tu wala si kutokomeza kabisa. Vikundi vya kigaidi kama Hamas vimekuwa ni Neema kubwa mno kwa Israel, Kwa teknolojia na uwezo wa kijeshi alionao Israel endapo akiamua kumaliza kikundi kama Hamas ni suala la siku kadhaa tu lakini hawezi kuthubutu kufanya hili...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukiweza elewa hii picha uwezi bishana na mashabiki Simba

    Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo 1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019 2) Wengi wao dish zimeyumba 3)Wengi wao much know 4) Wenye akili wanajitoa ufahamu 5) Wengi wanabishia uzoefu 6) Watu...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachukulia poa suala la Kelele, hii ni kero, NEMC wametukumbusha furaha yako isiwe kero kwa mwingine

    Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko. Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
  8. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wazee

    Hellow african Wewe tuchukulie ni mzazi una muomba mwanao hela kuna ndugu yenu kafariki unamuuomba hela ya kuchangia kwenye msiba umeongea na mwanao wakiume akakubali vizuri baada ya nusu saa mkweo anakupigia simu anakuambia kuwa hakuna hela kama hakuna ulazima wa kuchangia usichangia wewe...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa Sheria hivi compensation for injury of reputation Kwa hii issue ya Membe vs Musiba imekaaje ?

    Habari JF, Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka kwa Membe. Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki Je, ile fidia nayo inakufa?
  10. JamiiForums Tanzania Wazee hii imekaaje, ni kwangu Tu ama?

    Wasalaaaaam.... Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo hapana aisee, sijui ni kwanini!!! Yeye kuna time namuona kabisa kuwa anataka ukuni, anaanza kunishika...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Kwa mujibu wa RAP CAVIAR na Spotify hizi ndio ngoma 50 zenye Beats kali kuwahi kufanywa. Una maoni gani hapa? 1. Still Dre - Dr. Dre & Snoop Dogg 2. Shook Ones Pt. II - Mobb Deep 3. Grindin' - The Clips 4. Who Shot Ya? - The Notorious B.I.G 5. A Mill - Lil Wayne 6. Power - Kanye West 7. Its...
  12. JamiiForums Tanzania Ma IT wa Bongo tutengenezeeni hii APP (kupanga/ kupangisha/ kununua etc)

    Habari za muda huu... Leo nimewaza jinsi madalali wanavoharibu soko la vitu TZ ila ni sisi wenyewe ndio tunawaendekeza sana, nikiangalia vyuo vyetu UDSM, DIT, MUST etc etc wanazalisha ma IT kibao kila mwaka ila wote wanaishia kutengeneza website ambazo ndani ya mwaka zinakufa. Leo naomba...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania NBAA wamekaza Mei hii

    Kwahiyo NBAA wanataka Wawe kama law school au mitihani imekuwa migumu kwangu tu🥲
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndio chemshabongo ambayo imewashinda wengi, je wewe unaweza kuijibu?

    Vipi kwema wakongwe wenzangu? Wakuu mimi ninachemshabongo yangu ambayo imenisumbua kwa muda mrefu, so nitafurahi na kushukuru sana kama nitapata mtu mwenye upeo wa kuijibu chemshabongo hiyo. 1. Kwanza naomba mtu aniwekee jina la band au msanii gani alieimba wimbo wa zamani unaoimbwa "mtu ni...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanunua belo za mtumba tu

    Enyi wafanya biashara wa secondhand | Used | Mtumba Nguo | Viatu | Mikoba/School bags nk. Ni wapi unanunua bidhaa zako kati ya Tanzania | Kenya | Uganda? Sababu zipi zinakushawishi kununua bidhaa point A badala ya Point B au C? Vitu gani unazingatia hasa unapoamua kununua kati ya nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Hii dunia wapo wanao ishi, wengine tunaishia tu

    Wakuu hii dunia kuna watu wanafaidi asee, hii pesa yaani mane,mavumba au madafu yanatunyima vingi sana. Cheki huu mjengo ambao ameureview Supercarblondie.
  17. JamiiForums Tanzania Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

    Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao. Wamecheza dakika 540 bila wavu wao kuguswa. Wachezaji Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini. Kila namba...
  18. JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi ambao ni approvers wa HCMIS wasiendelee kusababisha hoja hii ya ukaguzi, imekuwa zaidi ya kero

    Wakuu, Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini; Matumizi...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu, hasa viongozi someni makala hii kwa nguvu zenu

    Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini. Source: https://thechanzo.com/2023/04/24/university-of-dar-es-salaam-is-stuck-its-time-to-save-it/ Nukuu 1: As the first University in Tanzania, UDSM played a crucial role in shaping the...
  20. JamiiForums Tanzania Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya Serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…