hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Responded RPC Arusha, tatua hii kero ya kuomba hela inayoshamiri kwa Trafiki

    RPC Arusha tunaomba ingilia hili suala la traffic Police Arusha wamekuwa ni kero kusimamisha magari na kuomba hela. Inakuwa kama hela ni haki yao uwe na kosa ama huna kosa. Arusha ni mji mdogo unaweza simamishwa mara tatu katika safari moja kila kona traffic wapo na wote wataomba hela. Hii ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

    True story: Tea time, Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo. Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui...
  4. JamiiForums Tanzania Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio Picha bora ya mwezi Septemba, imepatikana Nyamongo, Tarime

    Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na kuwafungua Ubongo wananchi. Lakini sisi wengine tunaenda mbali zaidi, kwa kuangalia kwa umakini yanayojili...
  6. JamiiForums Tanzania Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
  7. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kusumbua wanaotumia barabara kisa kutengeneza content

    Samahanini wakuu kwa usumbufu. Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok. Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani? Hivi taifa litakuaje...
  8. 4

    JamiiForums Tanzania Hii ndo picha yangu ya mwaka huu na kwa wajukuu na vitukuu, Rais wa Afrika wenda na dunia

    Wakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tinashe Jonas atangaza mpango wa kufanya mapinduzi nchini Zimbabwe

    Video ya Kushtua ya Wanajeshi imetolewa ikimuonesha Jonas, wa Kamandi Kuu ya Ideal Zimbabwe, anapinga moja kwa moja serikali ya Zimbabwe na Kuomba msaada wa silaha zaidi katika video yake. Jonas Alitangaza Mrengo wake mpya wa Kijeshi mwezi uliopita na watu wengi hawakumchukulia kwa uzito...
  10. JamiiForums Tanzania Je, hii ni moja ya sababu kwa nini vijana wengi wa Tanzania hawatoboi?

    Kutokuwa tayari kula na watu. Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk. Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wahuni, watu tunaowaona wadhambi wengi wataingia mbinguni kuliko watakatifu wa kidigitali

    Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu. Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
  12. JamiiForums Tanzania Hili limenipitaje, sikulijua na ndiyo nalijua leo?

    Kumbe Five Five za Kubahatisha kwa Wasiojua Baharini FC pamoja na Kutamba Kwao kote wana miaka 25 hawajacheza Group Stage ya CAFCL? Kuanzia leo nawavua Vyeo vyote nilivyokuwa nimewapa nibaki tu Kuiheshimisha Klabu ya Mwenyezi Mungu na yenye Baraka zake zote ya Simba Sports Club. Na niwashauri...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kuna mwalimu mkuu mmoja yupo njiani muda huu, anaenda kwa bosi kujieleza kwanini hawakufundisha Jumamosi hii

    Ndo hivyo jamani! Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi. Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kupiga simu kwa njia ya mtandao na gharama ya simu kubaki upande mmoja ipo?

    Nipige calls kwa kutumia internet halafu data charges ziwe upande mmoja? Kama haipo can it be useful pale ambapo service provider anaruhusu uchati na mwingine huku data costs zote akichajiwa mmoja?
  15. JamiiForums Tanzania Kadi za CCM zimeanza kurudishwa. Je, ni kwa sababu ya mambo yanayoendelea awamu hii ya sita?

    Je, wapinzani wajiandae kisaikoloji? Je, CCM imeanza kugawanyika kuanzia viongozi wake hadi wanachama wake?
  16. JamiiForums Tanzania Habari Picha: Hii picha imebeba ujumbe gani?

    the THE BIG SHOW, FaizaFoxy na Lucas mwashambwa njooni mtueleze
  17. JamiiForums Tanzania Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona video hii nimemdharau sana Ali Bongo Ondimba

    Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

    Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo. Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana. Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama Pindi Chana alifeli Wizara Mbili kakudanganya nani kuwa hii ya sasa ataimudu?

    Ongea yake tu kama Umesoma na Kubobea vyema katika Saikolojia utagundua kuwa hakuna Mtu na hana akijuacho na anachokiweza. Waziri muda wote akiwa katika Podium Yeye Kazi yake ni kuwa tu Sycophant ( Flaterrer ) kwa Rais Samia na si kusema Mikakati ya Wizara unategemea kweli akuletee Tija /...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…